Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

naunga mkono hoja...bado Magufuli hajaangazia wizi wa Ranchi za ufugaji za kitaifa zinazotusababishia migogoro ya wakulima na wafugaji.
Na magufuli mwenyewe mbona anajenga uwanja chatona kununua ndege aligawa nyumba za sirkali na kuziuza , kanunua kivuko cha mv bagamoyo kibovu kwa hela nyingi na bado mmemeachia paspoti hii sio sura nzuri
 
Vijana wa lumumba bwana..mbona husemi kina Prf Muhongo, Tibaijuka na kina bashite wanyan'ganywe passpot
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!
kila siku waandishi wa hadith wana mpya..kila mtu ana siku yake
 
Naamini haitakuja kutokea hata siku moja EL akaimbia hii Nchi.
 
Hakuna wa kumuweka ndani lowada nchi hii, mtasubiri sana. Siku lowasa akiwekwa ndani njoo nidai chenji yako. Nyie maraisi wenu wana kinga ya kisheria , lakini Lowasa ana kinga ya wananchi . kama hamwamini mkamateni hata kesho muwekeni ndani halafu muone hasira za watanzania kudhulumiwa ushindi wao. Watakuwa wamepata sababu ya kufanya uovu, ninachokiona mimi watu walikuwa wanatafuta sababu ya kuleta vulugu ilikuwa haipatikani sasa mtakuwa mmewapa sababu . watu bado wana hasira na ushindi wao . hakuna serikali inayoweza pambana na wananchi wake halafu ikashinda, ebu fikiria kwa akili yako ndogo kama kibiti inakuwa ngumu kuwapata wahalifu , je ikiwa nchi nzima watu wanachoma asset za serikali , je hali itakuwaje. Labda kama serikali imeamua liwalo na liwe , lakini hicho kitu si cha kutest hata kidogo .kwani maisha yetu ni zaidi ya hayo ambayo serikali inayafikiria. Siku lowasa akilala mahabusu tegemea uasi mkubwa kutokea huku uraiani, hao polisi wenyewe wapo wangapi , tuache kujitekenya wenyewe. Tatizo bashite anapokuwa mshauri wa mkuu unategemea nini, zero brain ,std seven faillure, form four failure. Mtu aliyeshindwa hata hesabu ankra kwenye mtihani wa taifa wa darasa la saba, leo mkuu ndio anamtegea awe mshauri , ndio maana hata viwanda havijengwi , kazi kuhubiri uwongo tu na miaka inaenda viwanda vyenyewe havionekani , mwisho wa siku mtasema mafundi kushona waungane nchi nzima na mtaanza kuhubiri hivyo ndivyo viwanda, poor thinking capacity. Mnaacha kuhangaika na ajenda zinaleta tija kwa wananchi kama vile , ajira kwa vijana mnahangaika na vitu ambavyo havina impact ktk maisha ya wengi. Siku lowasa akilala ndani uje uniambie nikanushe maneno yangu. Lakini haita tokea kamwe. Nchi yetu ina ma analyst wazuri wa masuala ya ulinzi na usalama wenye uwezo wa kubashiri viashiria vya uvunjifu wa amani katika nchi yetu.
Watu wa kibiti wameomba tuwe tunawapa taarifa ya kinachoendelea kuhusu kesi ya Lowasa kwa sababu wao kule kupata taarifa ya kinachoendelea mjini ni tatizo kidogo kutokana na matatizo ya network.
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!

Utaanza kunyang'anywa wewe na utashindwa kukimbilia kwenu Burundi
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!
Ukiona moyo wako umeanza kujaa hasira yenye chuki na hukumu basi jua tayari umeshakuwa muajiriwa wa kuzimu!
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!
mkuu, hao wakubwa zako wenyewe wanam-sweat jamaa kinyama.......wakati wengine wakiambiwa kwenda kuripoti vituo vya polisi (central, nk), yeye ameombwa kwenda makao makuu ya polisi. there lies the difference.

don't play with the Don - utaliwa na mamba kilindini!
 
Lowasa ana watu Lowasa si rugamalila wala singa singa kwanza cheki ulinzi walioweka kipindi wamaenda kumhoji waliogopa nini mpaka kuandaa magari mengi? wajue kuwa wakiamua kumkomoa Lowasa watakuwa wamekaribisha Sumu kubwa nchini.
Ukweli wanaujua na utawatesa sana!
 
Hivi kwa akili yako mtoa mada u nategemea lowasa atoroke kwa lipi hasa? Ushabiki mwingine mlionao wala hauna maana, mafisadi mlionao chichiem hawajatoroka ndiyo aje atoroke lowasa mmechemka
 
Picha zinaongea mwenye akili atajua kipi muhimu kwenye Serikali yetu
bc6939174a910962c9b40d431c7bcbb2.jpg
a73f1ce30ff9d07ad558a9fbf398ed72.jpg
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!

!
!
Wapeleke nguvu [HASHTAG]#Kibiti[/HASHTAG]. Kuna mauaji kule
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!
Kuna watu kwa post zenu mnajiacha uchi kabisa na hata elimu yako nahis unajua kusoma na kuandika tu....you can't think critically. Hivi unahis makaburi yakianza kufukuliwa C tutaanza kuchukua passports za vizee vya Fisiem wote? Plz hide your stupidity and always try to expand your brain even a little bit more before you post anything.
 
Hakikisha mkimnyang'anya passport msimsahau na yule wa Msoga maana walikula wote hizo dili, BTW mnamuogopa ndo maana hadi leo hamjampeleka mahakamani.
 
Magufuli mwenyewe mbona nae ni mwizi tu. Watanzania wengi wenu bado elimu yenu ni ndogo sana. Badala ya kulilia haki zenu yaani mmpate katiba bora ili muwe na uhuru wa kuongea, muweze kupata mahospital shule, maji mnabaki kushinda jf kuandika watu wa kunyanganywa passport. Lowassa hawezi fungwa hata cku moja akifungwa ujue nchi itatikisika na hata akina jk itabidi wawe ndani. Ucfikiri watu wakikaa kimya ukadhani ni mambumbu kama maccm. Wenye elimu zao wapo na mambumbu wapo lumumba
Katiba haijengi nchi.

Anaefikiri kuwa katiba ndiyo inajenga nchi huyo ni punguani.

Kuna nchi zimeendelea sana duniani na hazina katiba.
 
Back
Top Bottom