Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
FactsPamoja na mapungufu yake sidhani kama tunastahili kuendelea kumsumbua kwa kiasi hicho.
ifike mahali tumuhukumu kwa wema kidogo aliofanya na tumsamehe bure tu. ikishindikana kabisa basi tufikirie kuwa amewekeza na kuna watanzania wanafanya kazi huko.
mwisho angalieni umri na pia inawezekana afya yake haiwezi kuwa imara kama kijana wa miaka 53