Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

Aliyetoa hii post nafikiri Ana mapenzi na mbwa maake akili yake inaonekana zina homoni za kike
Ni kijana wa Le mutuz huenda usiku wana michezo yao usiku huko Gheto wanaposhinda kusumbua watu kwenye mitandao.
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for you, nigga!

Lowassa hawezi kushitakiwa kwa ufisadi bila ya Kikwete. Rais anajuwa kila kitu ni mbwembwe tu , hapo hakuna kitu.
 
Hakuna wa kumuweka ndani lowada nchi hii, mtasubiri sana. Siku lowasa akiwekwa ndani njoo nidai chenji yako. Nyie maraisi wenu wana kinga ya kisheria , lakini Lowasa ana kinga ya wananchi . kama hamwamini mkamateni hata kesho muwekeni ndani halafu muone hasira za watanzania kudhulumiwa ushindi wao. Watakuwa wamepata sababu ya kufanya uovu, ninachokiona mimi watu walikuwa wanatafuta sababu ya kuleta vulugu ilikuwa haipatikani sasa mtakuwa mmewapa sababu . watu bado wana hasira na ushindi wao . hakuna serikali inayoweza pambana na wananchi wake halafu ikashinda, ebu fikiria kwa akili yako ndogo kama kibiti inakuwa ngumu kuwapata wahalifu , je ikiwa nchi nzima watu wanachoma asset za serikali , je hali itakuwaje. Labda kama serikali imeamua liwalo na liwe , lakini hicho kitu si cha kutest hata kidogo .kwani maisha yetu ni zaidi ya hayo ambayo serikali inayafikiria. Siku lowasa akilala mahabusu tegemea uasi mkubwa kutokea huku uraiani, hao polisi wenyewe wapo wangapi , tuache kujitekenya wenyewe. Tatizo bashite anapokuwa mshauri wa mkuu unategemea nini, zero brain ,std seven faillure, form four failure. Mtu aliyeshindwa hata hesabu ankra kwenye mtihani wa taifa wa darasa la saba, leo mkuu ndio anamtegea awe mshauri , ndio maana hata viwanda havijengwi , kazi kuhubiri uwongo tu na miaka inaenda viwanda vyenyewe havionekani , mwisho wa siku mtasema mafundi kushona waungane nchi nzima na mtaanza kuhubiri hivyo ndivyo viwanda, poor thinking capacity. Mnaacha kuhangaika na ajenda zinaleta tija kwa wananchi kama vile , ajira kwa vijana mnahangaika na vitu ambavyo havina impact ktk maisha ya wengi. Siku lowasa akilala ndani uje uniambie nikanushe maneno yangu. Lakini haita tokea kamwe. Nchi yetu ina ma analyst wazuri wa masuala ya ulinzi na usalama wenye uwezo wa kubashiri viashiria vya uvunjifu wa amani katika nchi yetu.
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for you, nigga!
apokonywe aliyeko msata kwanza ndio anyang'anywe lowasa, fisadi fisadi, mumupeleke mahakamani mkate mzizi wa fitina, wakati zizi la ufisadi mnalifahamu nchi hii ambao lipo kwenu
 
naunga mkono hoja...bado Magufuli hajaangazia wizi wa Ranchi za ufugaji za kitaifa zinazotusababishia migogoro ya wakulima na wafugaji.
huyo unayemsema kwani hana ranchi, msikurupuke ndugu, kwa taarifa yako huyo makomeo ana maranchi ya kifa mtu,
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Kitendo cha kulazimika kujidhamini maana yake kuna jambo haliko sawa. Kwa hiyo jiandae kisaikolojia, lolote laweza kutokea.
mbona manji alijidhamini, hivi kesi yake iliishaje, naomba kujuzwa kesi hizi zimeishia wapi
1. Manji kutumia ngada
2. Mbowe kutumia ngada
3. Waandishi wa habari kupigwa na vijana wa lipumba manake polisi walituaminisha kuwa wamewakamata baada ya hapo hatujasikia lolote
4. Takukuru kudai kuwa wanafatilia vyeti vya bashite
mwenye updates tafadhali azimwage
 
WAKATI WA KAMPENI ZA URAIS, TUNDU LISSU ALIWAHI KUMUULIZA RAIS KIKWETE ATAJE MWENYE RICHMOND NI NANI? KIKWETE ALIJIBU KISTAARABU KUWA MWENYE RICHMOND NI YULE ALIYEKUWA ANATEMBEA NAYE.
LOWASSA PAMONA NA MAKOSA YAKE MENGI LAKINI RAIS MAKUFULI AMEAMUA KUMWACHA APUMZIKE KWA MEMA MENGI ALIYOFANYIA INCHI HII.
ILA AKITAKA KUHARIBU AMANI YA INCHI HAKUTAKUWA NA SALIA MTUME.
salia mtume kwa serikali, salia mtume kwa el
 
Baba Jesca hamwamini mungu bali huzuga zuga kuwahadaa watanzania, kwa sasa anaishi kwa kuabudu Kamati za Ufundi za Daud Bashite ambaye anamiliki waganga wa kienyeji zaidi ya 200 tokea mataifa mbalimbali wakila na kulishwa na GSM wazee wa 10% ununuzi wa ndege kwa cash.
nyuzi za kuaminika jamaa kamuweka kwenye chupa hasa, hafurukuti, yani bashite ndie anayemuongoza huyu jamaa, sio yule kumuongoza bashite, halafu utawakita kanisani wakiomba, sasa sijui wanamuomba nani,
 
Mtoa mada huko vizuri...Hivi unaweza dhibitisha uraia huyo anae kuongoza
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!
binafsi nilikuwa namchukia LOWASA bila kujijua lkn baadae nilijitambua nikabadilika.
ila ndugu weye huu uzombi uliokujaa wa kumchukia mtu bila sababu yenye mashiko hebu jitoe ufaham kwanza.
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!
Niliwahi kuhisi ww ni mtu mzima!! Heshima na busara ni jambo muhimu ukizingatia mhusika anatuhumiwa tuu...pole kwa kuvikosa
 
Atoroke ili 2020 mteleze juu ya ganda la ndizi? 2020 hakuna utelezi, hiyo sauti ya kibabe mnayotuongelea lazima muibadilishe 2019/2020 ili muwalaghai tena wazee na wasio na elimu wawapigie kura.
 
Ni jambo lililowazi kbs sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, hivyo ningependekez anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for your ass, nigga!
It is very important for leaders in a society to be respected. Lowasa is a leader and he has a big following in our country. It unfortunate for Government leaders to treat him and other political leaders without respect. Actually they are preparing the society to disrespect them as well. They must take a note of the saying *WHAT COMES AROUND GOES AROUND*
 
Unatutaka tumrespect criminal? Labda umfanye leader wa familia yako! Go hang!
 
Back
Top Bottom