Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

Katiba haijengi nchi.

Anaefikiri kuwa katiba ndiyo inajenga nchi huyo ni punguani.

Kuna nchi zimeendelea sana duniani na hazina katiba.
Katiba ni mwongozo. Hizo nchi lazima zina mwongozo hata kama hauko kwenye mfumo wa katiba. Tumia akili. Au kwasababu umeskia Uingereza hawana katiba ndo ukadhani hawana mwongozo?
 
naunga mkono hoja...bado Magufuli hajaangazia wizi wa Ranchi za ufugaji za kitaifa zinazotusababishia migogoro ya wakulima na wafugaji.
Ni kweli kabisa na baada ya hapo aangazie pia:
Ununuzi wa ile Meli tulioambiwa ingekwenda Bwagamoyo, Manunuzi ya Mapangaboi bila kusahau Hasara tulioipata kwenye Sakata la Samaki.
 
Back
Top Bottom