Waziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani Morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowassa alikuwa akielekea Morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.
dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,
ITV HABARI.
Aaa hana shabaha sijui aaaah!
Tatizo unakurupuka huelewi. Hapa tunamzungumzia FISAD SUGU. Ambae angekua china wala tusinge subiri ajali angenyongwa hadharani. Hafai hata bure huyu.halafu uzuri wa maisha ulivyo utasikia familia yako yote imekandamizwa na lori la mafuta lililokiatika tela, na hakijatoka kitu, halafu sijui utakuja hapa nakusema dereva amekuwa na shabaha!
we ndo akili fupi huwezi mtakia mtu kifo kisa una mabwana wanakupakata na kukuweka mjini,leta hoja za mashiko siyo kutokwa povu bila sababu ya msingi,posts zako zinaonyesha ulivyo mvivu wa kufikiri,:A S-baby:Wewe kweli huna akili unawaza kunya tu. Hujui kuna watu wamekufa nchi hii kutokana na ufisadi wake? Unamtetea kwa sababu mama
yako nyumba ndogo yake nin? Mwizi ni mwizi tu kibaka we.
Najua huyo ni baba yako mdogo kwa hiyo siwe ndo akili fupi huwezi mtakia mtu kifo kisa una mabwana wanakupakata na kukuweka mjini,leta hoja za mashiko siyo kutokwa povu bila sababu ya msingi,posts zako zinaonyesha ulivyo mvivu wa kufikiri,:A S-baby:
huna hata haya au nawe jizi nn?we ndo akili fupi huwezi mtakia mtu kifo kisa una mabwana wanakupakata na kukuweka mjini,leta hoja za mashiko siyo kutokwa povu bila sababu ya msingi,posts zako zinaonyesha ulivyo mvivu wa kufikiri,:A S-baby:
we si umetumwa kutoa povu,basi na mimi niko online mpaka mwisho,sisi tunazungumzia swala la ajali we unatokwa na povu kwa issue tofauti ndo mana nakushangaa hata kama unatumikia mabwana zako at leatst hoja zako ziwe na mshikoNajua huyo ni baba yako mdogo kwa hiyo si
wezi bishana nawe.
Hivi we unaakili gani kutetea mwiz? Hebu angalia ni wachangiaji wangapi wapo upande wako.we si umetumwa kutoa povu,basi na mimi niko online mpaka mwisho,sisi tunazungumzia swala la ajali we unatokwa na povu kwa issue tofauti ndo mana nakushangaa hata kama unatumikia mabwana zako at leatst hoja zako ziwe na mshiko
kwanza kwanini unishambulie mimi wakati karibibia wachangiaji wote wana mawazo tofauti na yako? Inaonyesha jinsi gani ulivyo huna akili.we si umetumwa kutoa povu,basi na mimi niko online mpaka mwisho,sisi tunazungumzia swala la ajali we unatokwa na povu kwa issue tofauti ndo mana nakushangaa hata kama unatumikia mabwana zako at leatst hoja zako ziwe na mshiko
Hata watu wanakushangaa umekazana unamtetea mwizi. Ni mwananch gan tz asie elewa kama EL ni fisadi? Mbona una ng'ang'ania vi2 ambavyo havikwa ufupi tu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo