Lowassa anusurika kifo Morogoro

Ushaidi upi unao utaka? Hujiulizi alijiuzuru kwa sababu gani? Wabongo mbona tunapenda vibaya?
 
Mungu anakupenda el , kwa sababu bado hujaifikia ile tunu kuu.
 
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!

​Kweli kabisa mkuu, hawa mafisadi hata wakifa ni sawa tu.
 
Hata watu wanakushangaa umekazana unamtetea mwizi. Ni mwananch gan tz asie elewa kama EL ni fisadi? Mbona una ng'ang'ania vi2 ambavyo havi
po? Nampa pole mwalimu aliekufundisha maana unaoneka una kichwa cha panzi.
una mawazo mgando wewe,kwa hiyo we ni bendera fuata upepo,jifunze kutoa hoja na kuisimamia usiwe kama mwanamke malaya asiyekuwa na msimamo,sizungmzii swala la ufisadi hapa tunaznugumzia issue ya accident kama ni ufisadi kuna posts kibao zinazo elezea ufisadi,kwa ufupi elewa unapima kina cha maji ya bahari kwa kidole,inaonekana tumbo ndo linalokufanya usiwe na msimamo na kutokwa hovyo na povu pasipo sababu ya msingi
 
Povu la nini mkuu? Kama kweli ungekuwa shujaa (kama unavyo jiita father of all) usingejificha nyuma ya keyboard na kuanza kuwalaani na kutakia watu mabaya. Kuwa mjasiri basi, njoo kwa ID ya jina lako halisi kisha uongee haya unayoyasema hapa, ndipo tutajua unamaanisha kweli haya unayoyatolea povu.
Vinginevyo wewe ni mnafiki tu, tena usie na uzalendo wowote kwa Taifa lako, nafikiri unasumbuliwa na chuki binafsi zaidi.
 
Je wewe ni mtoto wa nje ya ndoa wa Lowassa? Waachie wanae halali wafanye kazi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…