PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!
Katika taarifa ya habari ya ITV Mh. Edward Lowasa amenusurika katika ajali ya gari wakati akienda kwenye harambee ya kanisa la KKT ushirika wa morogoro.
Waziri mkuu aliye jiuzuli lowasa amenusurika kifo mkoani morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowasa alikuwa akielekea morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.
dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,
ITV HABARI.
We sio greatthinkerto say so Mh, huyu ni mtu muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu sahivi...jifunze kuona mbali.
Mungu ashukuliwe kwa kuepusha hili
Mtu kapata minor road accident mnasema kanusurika kufa........! Hii maana ya kunusurika kufa sasa inapotoshwa
Waziri mkuu aliye jiuzuli lowasa amenusurika kifo mkoani morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowasa alikuwa akielekea morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.
dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,
ITV HABARI.
Haku staafu, hakujiuzulu Bali alifukuzwa na bunge.Humo makanisani humo huyu bwana...!!! kheri yake kama kanusurika, afu hivi Lowassa alistaafu au alijiuzulu kwa kashfa!?