fisadi lowasa ananunua kila mtu.Huyu ni shetani kupambana nae inabidi tujipange kweli kweli Nape na mangula inabidi wakaze.Takukuru Hosea chali
Iv ndo unataka kuwaaminisha wa-tz kuwa nape na mangula ndo watakatifu waliobaki ccm?
Au ndo mpo kwny jahazi na mmeahidiwa udc?