jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,782
Ccm masikini kama ndege ya Malaysia isipopotea itatunguliwa tu.tumechoka
Except I shall see in his hands the print of the nails, and put my finger into the print of the nails, and thrust my hand into his side, I will not believe..... John 20:25Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.
Hali ni tete sana!
Ule ni moto mkuu alikuwa anajifariji tu ,ujue katika jambo baya ambalo amefanya lowasa sitakuja kumsamehe ni ishu ya Richmond alitufanya watanzania kama majuha halafu kundi lake wote wanakashifa sijui tutakuwa na viongozi wa aina gani.mkuu hata Mimi nashangaa wakati alituahidi kuwa atalitolea ufafanuzi
Makongoro na magufuli.
mkuu kuna thread ulianzisha asubuhi ukataja top 5 watu wakakubeza ila ukiangalia kuna ukweli fulani maana naona edo mambo yanaanza kuharibikaMakongoro na magufuli.
Ila chakushangaza eti hajui kama wenzake wanamfanya ATM sijui huyu mzee yupoje watu wanamvuna halafu yeye anaona ndiyo jamaa zake hatari kweli.Lowasa akijitoa kuna wengi watajuta maana wamezoea kumfanya shamba la bibi
Uongo ni dhambi
haah haah mpwa unavunja mbavuLabda nirudie tena kusema kuwa KUTAFUTA MTU MSAFI CCM NI SAWA NA KUTAFUTA MWANAMKE BIKRA KWENYE WODI YA WAZAZI....
Kweli kabisa, tena akijitoa sasa ata wini kiheshima fulani kwa jamii
Sure mkuu edo kiukweli hafiki kokote wazee na watanzania wapenda haki sidhani kama watakuwa tayari kumwachia eti Edo ndiyo awe Rais litakuwa taifa la ajabu sana.Watanipinga lakini ipo siku watakumbuka andiko langu mkuu.mkuu kuna thread ulianzisha asubuhi ukataja top 5 watu wakakubeza ila ukiangalia kuna ukweli fulani maana naona edo mambo yanaanza kuharibika
Simiyu Yetu ccm hakuna wagawa pesa hii kauli umeitoa wapi?Aaaaaaaaaaaa mambo gani haya akijitoa watu watapata wapi hela za kula ngoja wale kwanza mpaka mwishoni kabisa.
Wanaweza jitoa wote sio serukamba
Hivi unamjuwa vizuri huyu aliyeleta hii post?Ni uwongo na uzandiki huo, kaeni mjidanganye nyie team nepi nayule