Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Status
Not open for further replies.
Huyu Kangi Lugola na Mwenzake Serukamba.ni wanafiki sana.kujitoa kwenye kambi ya Lowassa katika muda huu ambao hali ni mbaya hakutabadilisha azma yao ya awali ya kushirikiana na fisadi.kwa hiyo tumesha wa mark wao pamoja na mzee kingunge.wote ni wasaliti tu.
 
Yericko hajawahi kutudanganya na habari zake huwa kama vile nae yupo CC (correct 100%).... Hii itakuwa ni Mara kwanza. Hivi leo kwenye ile listi ya majina yaliyotangazwa Jana TBC kuwa watachukua fomu jina La Lowassa lilikuwemo na alitakiwa kuchukua leo saa saba mchana. Swali mbona hakutokea? tunaomba majibu teamlowasa
Aliahirisha kwa ajili ya Msiba wa Mbunge wa Ukonga.
 
Ila chakushangaza eti hajui kama wenzake wanamfanya ATM sijui huyu mzee yupoje watu wanamvuna halafu yeye anaona ndiyo jamaa zake hatari kweli.

Huyu mzee atakuwa hajielewi akistep down hasara alizopata atafidiaje
 
Huyu Kangi Lugola na Mwenzake Serukamba.ni wanafiki sana.kujitoa kwenye kambi ya Lowassa katika muda huu ambao hali ni mbaya hakutabadilisha azma yao ya awali ya kushirikiana na fisadi.kwa hiyo tumesha wa mark wao pamoja na mzee kingunge.wote ni wasaliti tu.
Una uhakika kuwa wamejitoa? hizi habari ni za kizushi tu!
 
Simlipiga hata kuwa Makongoro ndie pini yenu huko Lumumba? Sasa kiko wapi?

Mkuu kama hata jina la ukoo(surname) umedanganya/foji sembuse kudanganya. Kuhusu huyo Makongoro usipotoshe, vikao halali vya chama bado havijakaa kufanya maamuzi.
 
Lowasa hawezi kutoka
Huku kuna nape
Kule mwakyembe
Hapa sitta
Halafu makongoro
Kingwala



Dah mzee anakosa pakuhema
 
Kama atajitoa itapendeza zaidi. Kwa sababu kimsingi hana hoja zenye mashiko ingawa ana ushawishi mkubwa ambao kwa Watanzania wa wastani ninaowajua wanaweza kujikuta wanamwamini, kumchagua na kisha kujutia baadaye.
 
WanaJF,

Mambo yanazidi kuwa mabovu kwa teamLowassa.

Hii leo kuna taarifa ya mhe Lugola na Serukamba kujiondoa kwenye teamLowassa.

Hadi sasa haijafahamika sababu hasa lakini imeelezwa katika tetesi ni kutokana na wawili hao kugundua kuwa hakuna tena uwezekano wa Lowassa kupitishwa katika ngazi za maamuzi ya chama kufuatia team yake kujaa watu wenye kashfa za rushwa, kukosa maadili na ufisadi.

Aidha, mbali na kujitoa kwa wawili hao, Lowassa mwenyewe anaendelea na safari yake ya matumaini mpaka kieleweke.

Kama na wewe umetambua kwamba jamaa ni fisadi..basi watu wote wameanza kuelewa..jizi halitaiona magogoni
 
halafu leo si ndo ilikuwa akachukue form...amechukua au?

Hajaenda kuchukua, bado anatafuta watu wa kuwapatia fedha ili aongozane nao na mabango ya kuelezea kuwa yeye ni chaguo la watanzania.Fisadi awe chaguo la watanzania, Nitashangaa sana.Kujitoa kwenye kinyang'anyilo ni kutunza heshima yake.
 
Kama kajitoa basi kuna dili keshapiga huyu,,maana kwa madili huyu
 
Kwenye wodi ya wazazi uwa kuna wauguzi, wakunga na watu wa usafi. Katika wote hao uwezi kukosa mwenye bikra mkuu.

hivi mbona watu wa chama cha mafisadi ni wagumu kuelewa? hivi unajua maana ya wodi ya wazazi? hao wahudumu unaowasema huwa wameenda kujifungua?

ndiyo maana hii nchi haiendelei kwa sababu ya watu kama nyie
 
Kama ni kweli, atakuwa kafanya uamuzi wa busara japo wale kupe na ndorobo wanaomzunguka wataumia sana.
Lakini bora kuumia kwa kupe na ndorobo wachache kuliko watanzania katika ujumla wao.
Kuna heshima atapata akifanya hilo kutegemea atatoa sababu ipi. Bora aseme afya imegoma.
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!

utakuwa umekunywa viroba plus gongo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom