Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Status
Not open for further replies.
Kwenye wodi ya wazazi uwa kuna wauguzi, wakunga na watu wa usafi. Katika wote hao uwezi kukosa mwenye bikra mkuu.

Hahahahaaaaaaaaa mkuu inaonekana na wewe umo kwenye safari ya matumaini manake umetafuta matumaini ya wodi ya wazazi hadi umepata..
 
Saimon111

Kwa ushauri wa bure ili usiendelee kuumia pamoja na wenzako, maana n wazi kabisa movement za lowasa zinaenda kuishia sakafuni. Ww achana nae tu, jiunge na kikosi chenye nguvu. If u can't fight them join them.
 
mara nyingi Yericko Nyerere namwamini maana vyanzo vyake huwa ana uhakika navyo na hutokea kweli
lakini lile la Butiama kwa Makongoro bado hajalimalizia vizuri wala kuliendeleza
Yericko Nyerere ni lini wanakuja kuchukua Fomu hapa Dodoma tuwasindikize? Makongoro anatakiwa watu wa kumsainia
nakujua upo UKWA lakini hata fununu maana za Lowassa uanzipata
 
Tehetehetehetehe! Huy ndiye HAMY-D yule inayemjua. Yupo katika ubora wake
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!
Kama atajitoa plan B yake ni nani maana ujue wagombea wengi huwa na plan B na C, kama Lowassa akijitoa yeye atampa support nani? na huyu tumjue vile vile..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom