Aljazera
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 637
- 224
Kwenye wodi ya wazazi uwa kuna wauguzi, wakunga na watu wa usafi. Katika wote hao uwezi kukosa mwenye bikra mkuu.
Jaribu kuelewa, anaposema kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi kwa uelewa wangu anamaanisha waliolazwa humo wodini ambapo kiuhalisia bikira hawezi kuwepo, Sasa nikuulize mkuu mfano Bugando kuna wodi inaitwa C1 wanalazwa vichaa na wenye mtatizo ya akili je wanapoiita wodi ya vichaa ina maana Wauguzi, Madaktari na watu utakaowakuta humo wote ni vichaa/wana mtatizo ya akili?