Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,275
Ajitoe kwa sababu zipi?
Hahahaaaa.......na amegombea kwa sababu zipi
Ajitoe kwa sababu zipi?
Kwenye wodi ya wazazi uwa kuna wauguzi, wakunga na watu wa usafi. Katika wote hao uwezi kukosa mwenye bikra mkuu.
WanaJF,
Mambo yanazidi kuwa mabovu kwa teamLowassa.
Hii leo kuna taarifa ya mhe Lugola na Serukamba kujiondoa kwenye teamLowassa.
Hadi sasa haijafahamika sababu hasa lakini imeelezwa katika tetesi ni kutokana na wawili hao kugundua kuwa hakuna tena uwezekano wa Lowassa kupitishwa katika ngazi za maamuzi ya chama kufuatia team yake kujaa watu wenye kashfa za rushwa, kukosa maadili na ufisadi.
Aidha, mbali na kujitoa kwa wawili hao, Lowassa mwenyewe anaendelea na safari yake ya matumaini mpaka kieleweke.
Nilikuwa nasubiri sana aseme lakini sikuona alinikatisha tamaa sana sinampango naye kabisa.ningemuona wa maana wakati akijitoa aseme Richmond ni nini na ni ya nan?
Labda nirudie tena kusema kuwa KUTAFUTA MTU MSAFI CCM NI SAWA NA KUTAFUTA MWANAMKE BIKRA KWENYE WODI YA WAZAZI....
Mkuu sifa kubwa ya mtu mweusi ni kukosa loyalty akishaona boti inazama ata kama ulimpa lift ukiangalia pembeni tu anachukua boya huyo anaruka kivyake muda wa kusubiri mikakati ya kujinusuru kwa pamoja kwake huwa amna....taabu sana
...wewe umezidi unafiki ....uko Timu gani?
Kwenye wodi ya wazazi uwa kuna wauguzi, wakunga na watu wa usafi. Katika wote hao uwezi kukosa mwenye bikra mkuu.
Mleta mada kuendelea na story za lowasa ni kumtukuza, njoo na mada za kuleta ni jinsi gani nchi itasonga mbele.