Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Status
Not open for further replies.
usaliti kwao ni sawa !! tena ni damu damu..wamewasaliti wananchi sana..
 
Watu wengine sijui mmekula maharage ya wapi mnabwabwaja hovyohovyo bila hata kufikiria.
WanaJF,

Mambo yanazidi kuwa mabovu kwa teamLowassa.

Hii leo kuna taarifa ya mhe Lugola na Serukamba kujiondoa kwenye teamLowassa.

Hadi sasa haijafahamika sababu hasa lakini imeelezwa katika tetesi ni kutokana na wawili hao kugundua kuwa hakuna tena uwezekano wa Lowassa kupitishwa katika ngazi za maamuzi ya chama kufuatia team yake kujaa watu wenye kashfa za rushwa, kukosa maadili na ufisadi.

Aidha, mbali na kujitoa kwa wawili hao, Lowassa mwenyewe anaendelea na safari yake ya matumaini mpaka kieleweke.
 
Hao wenye kashifa za rushwa na mafisadi ni wanachama wa chama gani? Msitukane na kukashifu watu.
 
Sijui kama watu hawaoni au wanajifanya hawajui ila lowasa hana sifa za kuwa Rais hata kidogo.
 
angalau atarudisha heshima kidogo kwa jamii

Kama kweli ni mtu wa kusoma alama za nyakati ajitoe, itamsaidia sana in future. Tatizo wapambe wake ndo wanamdanganya, tena na hivi wanajua akijitoa mshiko unakata ndo kabisaaa wanazidi kumpampu tu
 
Daa asijitoe tunasubil hela zake kitaa
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.Hali ni tete sana!
Wenawe hata midamingine mtata kweli! haya kama umbea nawe upo sawa
 
WanaJF,

Mambo yanazidi kuwa mabovu kwa teamLowassa.

Hii leo kuna taarifa ya mhe Lugola na Serukamba kujiondoa kwenye teamLowassa.

Hadi sasa haijafahamika sababu hasa lakini imeelezwa katika tetesi ni kutokana na wawili hao kugundua kuwa hakuna tena uwezekano wa Lowassa kupitishwa katika ngazi za maamuzi ya chama kufuatia team yake kujaa watu wenye kashfa za rushwa, kukosa maadili na ufisadi.

Aidha, mbali na kujitoa kwa wawili hao, Lowassa mwenyewe anaendelea na safari yake ya matumaini mpaka kieleweke.

Umedhulumiwa nini??
Wee si team Lwasa??
 
Watanzania hawahitaji yeyote kutoka CCM, maana wote wamechafuka kwa uchafu usio rahisi kutakasika.
 
suluhu yake ni kutoboa mtungi....akisubili wenyewe wainamishe mtungi kisha panya akitoka wamuue itakula kwake...

Kweli kabisa, tena akijitoa sasa ata wini kiheshima fulani kwa jamii
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!
wenye masikio na wasikie amini amini nawambieni wanasiasa wataiba na kujiridhisha nafsi . Ni matumaini Ya muda tu na jamii ikishakuchukia na kukukataa kwa tamaa yako hasara na Aibu zina over weigh ile raha Ya matumaini Ya muda. Hakuna raha ya kustaafu kwa upendo ukala kilicho chako na jamii kukuheshimu. Mfano ni mzee mwinyi na mzee salimu heshima yao bila Shaka inawapa self esteem and greater satsifaction kuliko kila mtu ndani Ya jamii anakunyoshea kidole kama shetani. Naamini wanaofuata watapata somo katika uchaguzi huu ingawa these CCM guys seems to be completely deaf and blind.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom