Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Status
Not open for further replies.
Sikujua kama ndani ya CCM kuna nyufa kubwa kiasi hiki!
Huwezi ukamchukia mtu kiasi hicho kwakuwa tu yupo kambi tofauti na wewe kwenye kinyang'anyiro ndani ya chama kimoja. Kama huyo ndio CCM mwenzio itakuwaje kwa wapinzani?

CCM isiyounganishwa na ideology, imeunganishwa na madaraka (Vyeo, fedha, n.k.) tutarajie zaidi ya haya
 
Kama CCM wenzake wamemtisha namna hiyo je Muziki wa Ukawa na akiwa Tayari ameshateuliwa si Atajitoa katikati ya mchezo kama match ya kirafiki anaogopa je Ligi kuu,.. Huyu atawaponza wagombea wengi Sana wa CCm huko mbele
 
WanaJF,

Mambo yanazidi kuwa mabovu kwa teamLowassa.

Hii leo kuna taarifa ya mhe Lugola na Serukamba kujiondoa kwenye teamLowassa.

Hadi sasa haijafahamika sababu hasa lakini imeelezwa katika tetesi ni kutokana na wawili hao kugundua kuwa hakuna tena uwezekano wa Lowassa kupitishwa katika ngazi za maamuzi ya chama kufuatia team yake kujaa watu wenye kashfa za rushwa, kukosa maadili na ufisadi.

Aidha, mbali na kujitoa kwa wawili hao, Lowassa mwenyewe anaendelea na safari yake ya matumaini mpaka kieleweke.

Acha uongo,kambi ya Lowasa iko imara kama simba
 
Safari ya matumaini Bila nauli haiwezekani
 
Akijitoa sasa hivi atapunguza chemchem za kusuvlbiria kura.

Inabidi apewe vijipointi vipo(sina muda kuandika) ili aendeleeee kuleta uchangamfu uliopo sasa.
 
Lakini kakusanya milioni kumi zao huyu,, hawawezi kukubali ajitoe,,,
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!

hakuna kijidudu mtu kiongo kama wewe yericko nashangaa kwa nini unacheleweshwa kupigwa BAN ya maisha hapa JF
 
Kwenye wodi ya wazazi uwa kuna wauguzi, wakunga na watu wa usafi. Katika wote hao uwezi kukosa mwenye bikra mkuu.

TUANZE NA WEWE... JEEE UNAYOOO?? AU NDO USHABOBMOLEWA:mimba:
 
lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!

msisahau tu na mh. Njelu kasaka ametangaza jana kukihama chama cha majambawazi....
SASA NIULIZE AMEHAMIA WAPI:msela:
 
ningemuona wa maana wakati akijitoa aseme Richmond ni nini na ni ya nan?

Kwahiyo pamoja na matusi yoote unayomtukana lakini bado haikuingii akilini kwamba yeye ndiye muhusika mkuu wa Richmond? Kumbe ukweli mnaujua sasa mnataka yeye aseme nini kwasasa wakati amewekewa kisu shingoni? Muulize Mengi na kimbelembele cha kujifanya anapigania maslahi ya nchi jinsi alivyokaliwa kooni! Kila siku anapishana na ziraili. Ukitaka kuujua ukweli kuhisu Richmond, subiri baada ya October.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom