Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
WanaJF,
Mambo yanazidi kuwa mabovu kwa teamLowassa.
Hii leo kuna taarifa ya mhe Lugola na Serukamba kujiondoa kwenye teamLowassa.
Hadi sasa haijafahamika sababu hasa lakini imeelezwa katika tetesi ni kutokana na wawili hao kugundua kuwa hakuna tena uwezekano wa Lowassa kupitishwa katika ngazi za maamuzi ya chama kufuatia team yake kujaa watu wenye kashfa za rushwa, kukosa maadili na ufisadi.
Aidha, mbali na kujitoa kwa wawili hao, Lowassa mwenyewe anaendelea na safari yake ya matumaini mpaka kieleweke.
wana siasa ni wanafiki sana,huyu Kangi Lugola si ndio ali mfananisha Lowassa na Joshua,aka muita Lowassa ni kama nabii Elia ha ha ha ina maana siku zote alikua hajui kua Lowassa ni captain wa team wala rushwa?