Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Status
Not open for further replies.
Labda nirudie tena kusema kuwa KUTAFUTA MTU MSAFI CCM NI SAWA NA KUTAFUTA MWANAMKE BIKRA KWENYE WODI YA WAZAZI....
wacha utani wa kikora wee. ccm inabakia nambari wani. Nambari wani eeeeh.....
 
Mfano wako ni mfu, kwa sisi watu wa Hisabati huwa kuna kitu kinaitwa 'probability' looking into specificity, immeasurably and realistic-ability.

Kwa mfano, hao watu uliowataja (wafanyakazi) kwa idadi tu ni wachache sana ukilinganisha na Wazazi; chukulia ndani ya mwaka mmoja ni wazazi wangapi watahudumiwa hapo, wakati wafanyakazi ni walewale

Mwaka huu mnalo...... 'Bwawa limeingia .......'

Sasa unasema ni mwanagesabu alafu unatoa hoja za mtu asiyejua hesabu, au ndio mambo ya kukariri??

Ata hujui kuwa probability ya 0.99999 ina tofauti kubwa na probability ya 1?na ata hujui tofauti ya probality ya 0.001 na probability ya 0??rudi darasani.
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!

Source please before I comment anything about it
 
Mfano wako ni mfu, kwa sisi watu wa Hisabati huwa kuna kitu kinaitwa 'probability' looking into specificity, immeasurably and realistic-ability.

Kwa mfano, hao watu uliowataja (wafanyakazi) kwa idadi tu ni wachache sana ukilinganisha na Wazazi; chukulia ndani ya mwaka mmoja ni wazazi wangapi watahudumiwa hapo, wakati wafanyakazi ni walewale

Mwaka huu mnalo...... 'Bwawa limeingia .......'

Mkuu hesabu huyo kiumbe utampa mtihani mkubwa sana.
 
  • Thanks
Reactions: MC
Kwenye wodi ya wazazi uwa kuna wauguzi, wakunga na watu wa usafi. Katika wote hao uwezi kukosa mwenye bikra mkuu.

Hata mbingu ishuke hadi iguse ardhi haitatokea apatikane bikra.
 
WanaJF,

Mambo yanazidi kuwa mabovu kwa teamLowassa.

Hii leo kuna taarifa ya mhe Lugola na Serukamba kujiondoa kwenye teamLowassa.

Hadi sasa haijafahamika sababu hasa lakini imeelezwa katika tetesi ni kutokana na wawili hao kugundua kuwa hakuna tena uwezekano wa Lowassa kupitishwa katika ngazi za maamuzi ya chama kufuatia team yake kujaa watu wenye kashfa za rushwa, kukosa maadili na ufisadi.

Aidha, mbali na kujitoa kwa wawili hao, Lowassa mwenyewe anaendelea na safari yake ya matumaini mpaka kieleweke.

Wewe mwenyewe mbona unajitoa? Au umeshagundua kuwa hakuna mpunga? Umebadili avatar na kambi pia?
 
Apigane tu asjitoe, maana wapambe watahamia kambi gani sasa, Kuna yule baba wa Shinyanga atakufa na presha
 
lowasa akijitoa rorstam anarudi irani kwani siasa uchwara aziwezi base somalia
 
Kwenye wodi ya wazazi uwa kuna wauguzi, wakunga na watu wa usafi. Katika wote hao uwezi kukosa mwenye bikra mkuu.

Teeeh teh teh weruwiiii

Nmeipenda hyo kweli aitowezkana kukosekane bikra
 
Mambo ya Sepp Blatter na FIFA ndio yanataka kujirudia hapa kwetu nini? Naona kuna uwezekano mkubwa baadhi ya wagombea wakijikuta wana-giveup ghafla bin vuuuu kabla hawaja pitia kwenye chekeche la chuma!
 
Lowasa kama Sep Blatter, amejiwekea heshima kuliko kuwasikiliza wapambe maana wao wanaangalia matumbo Yao kuliko nchi,.. HAYA NDO MAAMUZI MAGUMU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom