Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Status
Not open for further replies.
Bora ajitoe mapema kuepuka aibu mbeleni.
Watanzania hawana imani na ccm tena.
VOTE FOR UKAWA
 
Urais haupatikani kupitia CCM tu, Lowasa should know better than that .............. I do not think he's that coward to give in just like that!!

Kama anaona hana nafasi CCM ahamishie majeshi yake ACT kwa Supreme Leader Zitto kabla haijawa too late!!
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!

AAAAb bro, usitutege kihivyo! hatutegeki jo!! Lowassa haswa; half caste wa Kimasai na Mmeru; makabila mawili jasiri na shujaa! hawezi kukimbia mapambano hata yawe ya moto kiasi gani; Lowassa anayejinasibu kuwa kiongozi mwenye maamuzi magumu; hawezi kujitoa. "Wasio mtaka ndani ya CCM waondoke wao"!!
 
Mpwa Elli hebu pita na huku na umwite zumbemkuu.

Lowasa asingechezea pesa zake kuanzia mwanzo. Angeenda dubai akapumzika na familia yake. Richmond was too big for him to swallow.

Namtakia safari njema ya kwenda kupumzika. Ila urais asitegemee kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mtujulishe mliopo Dodoma kwa nini hakuchukuwa form jana hadi anasubiri shinikizo la serukamba na Tibaijuka
 
Labda nirudie tena kusema kuwa KUTAFUTA MTU MSAFI CCM NI SAWA NA KUTAFUTA MWANAMKE BIKRA KWENYE WODI YA WAZAZI....

Kha! Mkuu hii kali kweli! Ina maana hakuna kabisa msafi
 
Labda nirudie tena kusema kuwa KUTAFUTA MTU MSAFI CCM NI SAWA NA KUTAFUTA MWANAMKE BIKRA KWENYE WODI YA WAZAZI....

Labda niongezee;
Msipoteze muda kumtafuta KONDOO kwenye kundi la ma-fisi, chatu, mamba au mbwa mwitu... Na endapo mtampata huko mjue wazi kuwa utashi, dhamira na utu wake vyote vitakuwa vimeshakufa kabisa...!!!

cc. Pasco, HAMY-D, Simiyu Yetu, Nape, Mwigulu, Mzee Mwanakijiji, Elli, Chakaza, Bulldog, Yeriko Nyerere, Bujibuji, Mssa Allan,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom