RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
Credibility ya Yericko Nyerere imeshuka sana! Mwanzoni nilidhani wanamsingizia kuwa ni muongo muongo mtu wa kujipendekeza pendekeza ... alisema Mwinyi, Mkapa walikuwa Butiama wakati CMN anatangaza nia ... kumbe ilikuwa chai kama kawaida yake ... watajivua wote lakini si Serukamba na Kangi Lugola ...