kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.
Hali ni tete sana!
Mods wa JF mmekua watu wa hovyo sana na mnashusha heshima ya JF huyu mpuuzi aliwahusisha mkapa na mwinyi na karume kuwa wapo Butiama juzi wakati Makongoro anatangaza nia jambo ambalo ni uongo mkubwa kwa wasomaji mmekaa kimya poor moderators soon jukwaa lenu halitatofautiana na Magazeti ya shigongo