Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

Status
Not open for further replies.
SAFARI YA MA TUMAINI
Kauli mbiu hii bado inanisumbua kwakweli. Watanzania tuna matatizo mengi yanayotukabili na tunataka yatatuliwe. Matatizo ya ayfa, uchumi, ufisadi elimu nk.
Mtu akipimwa akakutwa na HIV anashauriwa kuishi kwa matumaini. Yaani alikubali tatizo na kufuata masharti, hii ikimaanisha tatizo lake kwa sasa bado halina ufumbuzi lakini kwa kurefusha maisha huenda akaishi mpaka dawa itakapogunduliwa. Safari ya matumaini ina maana hiyo? Je, ufumbuzi wa matatizo yetu bado haujapatikana na badala yake sasa tuishi kwa matumaini? Maana ya kauli mbiu hii hebu iwekeni vizuri. Tutasafiri kwa matumaini mpaka lini? Na ni kwa nini iwe hivyo?

Kwanini EL anataka kutupeleka kwenye Safari ya MATUMAINI wakati Tz ina RASRIMALI kibao???
 
Jaribu kuelewa, anaposema kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi kwa uelewa wangu anamaanisha waliolazwa humo wodini ambapo kiuhalisia bikira hawezi kuwepo, Sasa nikuulize mkuu mfano Bugando kuna wodi inaitwa C1 wanalazwa vichaa na wenye mtatizo ya akili je wanapoiita wodi ya vichaa ina maana Wauguzi, Madaktari na watu utakaowakuta humo wote ni vichaa/wana mtatizo ya akili?

Au shuleni mwalimu akiingia kufundisha darasa la nne nae anakuwa mwanafunzi wa darasa la nne?
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!

Anaogopa kuaibika huyo..

Ameshaona mziki wa watangaza nia waliojitokeza baada yake....!
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!

Hivi mi najiulizaga. Huwa unakuwa umevimbiwa au vipi? Simpendi Lowassa ila Propaganda zingine nazionaga ni too cheap. Dizaini utakuwa katoto katoto hivi maana sionagi logic ya post zako:becky:
 
Halafu watu wanashabikia tu! Yaani mnaambiwa safari ya matumaini (siyo ya uhakika ) nanyi mnakubali. Watu wa dini husema mdomo unaumba, sasa sisi badala ya safari ya uhakika, tunaambiwa safari ya matumaini, tutaendelea hivihivi mpaka apatikane kiongozi wa kutongoza safari ya uhakika. Je , ni lini?
 
CCM hakuna mtu msafi ispoku tuna tafuta mtu muwajibikaji kwamfano magufuli makongoro mwiguru na lowasa hawa ndo pekee wanao weza kuwajibika
 
Mmmmh, mie hofu ya yangu
Ni hizi gharama wanazotumia kutangaza nia, watazirudishaje?? Na haya Makundi yanaamaana gani na msaada wao una maana gani,????
 
Lowassa anakusudia kujitoa mbio za urais, hali ya kambi yake ni tete, mtifuano kati ya wanaotaka ajitoe na wanaotaka apigane mpaka tone la mwisho umeshindwa kufikia mwafaka dakika chache zilizopita.

Hali ni tete sana!
unajua bhana huyu mzee tangu mwanzo hakuwa na mzuka wa kugombea , bali wapambe ndio walimlazimisha , mimi nilijua kwamba hela za watu zitamponza huyu mzee , kiko wapi sasa ?
 
Mtukane JK matusi yote lakin suala la JK kufanya deal za wizi hayupo.Rais Kikwete sio mwizi na hana wizi, tatizo lake ni kutokuwa mkali sana kww wezi.
Ha ha ha ha ha!mbavu zangu Mimi ,hivi kile kiroba alichobeba pale stanbic alikuwa amekidroo kutoka kwenye account yake?
 
CCM hakuna mtu msafi ispoku tuna tafuta mtu muwajibikaji kwamfano magufuli makongoro mwiguru na lowasa hawa ndo pekee wanao weza kuwajibika
Hivi Tanzania bila ccm haiwezekani ee?au ni akili zetu mbovu tu watanzania ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom