Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

Naomba kujua mfumo wa cdm plz maana kuna mtu ananichanganya et anasema mfumo wa cdm ni kuwssafisha mafisadi mf el, sumay, mash nk yaan anamaanisha walio toka ccm na kule ccm walijukana kuwa ni fisad's tosha, sasa anayejua mfumo wa cdm au ukawa nifahamishen wakuu
Utasubiri sana jibu!
 
Ukimwachia Sumaye ndo awe mpiga kampeni wako mkuu lazima uchemshe.
Jiulize, nguvu ya ushawishi wa Sumaye ni ipi?

kama ukitaka kujua nguvu ya Sumaye angalia tu, angekuwa CCM akaitisha mkutano wa hadhara pale Mbeya wangehudhuria watu wangapi?

Huo ndo uwezo wa Sumaye.
Eti anadai ameenda UKAWA kuwafundisha kazi kwa sababu hawana uzoefu wa kuendesha serikali. Kwa maana nyingine, benchmark ya utendaji wa serikali ya UKAWA itakuwa ni Sumaye. God forbid!

Sumaye anaposema UKAWA hawana uzoefu wa kuendesha serikali kwa maana nyingine, anawaponda/kuwadharau.
 
Ile betri inayojulikana kama Sumaye imekwisha kazi.
Matokeo ya kumnadi mgombea mgonjwa sasa yako dhahiri.

Mwishowe Lowasa ataomna Dr Slaa amsaidie kumnadi, yeye mwenyewe hatoshi kujinadi.
Ni ajabu lakini ni kweli, Sumaye amekuwa ''mshenga'' wa Lowassa kwenye kampeni!

Nadhani Lowassa labda ameona mambo hayaendi kama alivyokuwa anategemea.

Nadhani opinion polls za Twaweza na Synovate zimeanza kufanya kazi katika fikra za Lowassa!
 
Umeto.mbeka makalio wewe! Jamaa yenu wa "todays is just to congregations you" ameshaanza kutapatapa na kuwataja wasaliti hadharani, mwaka huu mtajibeba!
Kwa sababu matusi hayauzwi, masikini wa kifikra kama wewe mnapata nafasi ya bure kwenda kuchukua matusi na kuleta hapa jukwaani. Ninafahamu huwezi kwenda kununua hekima na busara kwa sababu huna uwezo.

Ukiona sikutukani siyo kwamba siwezi kwenda kuchukua matusi na kukugawia, bali ninaheshimu hili siyo jukwaa la kugawa matusi kwa wachangiaji.

Kama hufahamu hili siyo jukwaa la kugawa matusi, basi naomba uelewe kuwa umekosea njia.

Mada iliyoko mezani ni Lowassa kuomba msaada wa Mbowe.
 
" I can't let my beautiful country go to the dogs"


Miaka 50 iliyopita Tanzania ilikua beautiful country lakini sasa hivi ni nchi mbooovu kwasababu dogs wameshaitafuna vya kutosha na bado wanaomba waendelee kuitafuna , ni bora tuwape dogs wengine nao waendelee kuitafuna lakini sio mijibwa ile ile iendelee Kuila nchi ile ile .
 
Mbona mnahanagaika na mtu ambaye ushindi wake uko 22%,?
Kwa utafiti uliofanyika inatakiwa Lowasa asahaulike kabisa, wakuongelea ni Magufuli ambaye yuko kwenye mteremko!
 
Hiyo Comment Imeteleza TU!! Nimeshaomba Hilo!! Coz Waanza Kujadili Hoja AMBAYO Hauelewi!!! Hivi NINYI Ndio Wale Wafuasi Wa CCM Waliosemwa Na TWAWEZESHWA Eeeee!!!
 
Eti wataalamu wa siasa....
Mdanganye Mzee Mwanakijiji ambaye mtashiriki dhambi ya kuvuruga harakati za ukombozi....
Watanzania wanataka mabadiliko.. Hawatasubiri hadi nyie mkubali...Na hawatayaleta katika njia mnayotaka nyie...!!
Watanzania ndiyo kina nani kwa fikra zako?

Wewe unadhani mimi siyo Mtanzania?

Ni harakati gani za ukombozi ninazovuruga?
 
Katika kuonyesha kama haiamini tena timu anayoambatana nayo au anataka mtu wa kumsaidia kuongea zaidi na kufafanua kwa ufasaha, Lowassa amemuomba Mbowe waandamane naye kwenye mikutano yake yote iliyobaki ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Lowassa alitoa ombi maalum kwa Mbowe wakati wa kikao maalum cha kutafakari hali ya kampeni na mwerekeo wake.

Lowassa alimsihi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuendelea kuambatana naye kwenye kampeni ili aongeze nguvu kwenye timu yake.

Lowassa alisisitiza na kusema Mbowe anaweza kufanya kampeni zake kwenye Jimbo la Hai na pia kuweka timu ambayo itamsaidia wakati atakapokuwa nje ya jimbo kumpigia kampeni mgombea urais.

Wataalam wa siasa wanabaki na maswali mengi hasa ikichukuliwa uwezo wa Lowassa katika kutoa hotuba na kujieleza kwa wananchi ni mdogo achilia mbali afya yake. Ikumbukwe, Lowassa mara nyingi amekuwa hachukui zaidi ya dakika tano katika hotuba zake.

Lowassa amekuwa akiambatana mara nyingi kwenye mikutano ya kampeni na kundi lake ambalo lilimfuata CHADEMA kutoka CCM. Hawa ni pamoja na Sumaye, Mgeja, Masha na Goodluck Ole Medeye.

Is this Twaweza and Synovate opinion polls psychological effect?

Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?
kiasi umejitahidi kuandika ingawa bado andiko lako lina udhaifu mkubwa.
ingia google kisha tafuta hilo neno FDR...( Franklin Delamo Roosevert), ugonjwa wake na alikaa vipindi vingapi madarakani. Kuna wakati huwa naamini UTANZANIA WETU NDIO UGONJWA MKUBWA KULIKO MARADHI YA MWILINI...
 
Bora kutokuwa na mfumo kuliko Kuwa na serikali yenye mfumo kandamizi , WA wezi na usiojali maisha ya Wananchi. CCM WAMESHIBA HAWAWAJALI TENA WATANZANIA WENYE NJAA.
Msingi wa hoja yako ni nini katika Tanzania yenye msingi wa demokrasia ya kuchagua mgombea/chama.

Kwa hiyo una maana bora kuharibu kura kuliko kuipigia CCM? Au una maana bora kuwapa kura ''The Three Musketeers''
 
Dont confuse peoples here! Is CCM an empty box or what? CCM is a Party and EL inclusive. If CCM is corrupt you mean Peoples plus EL and Sumaye. They have left the CCM clean. Those are my views. Nzi mmoja anaweza kuichafua Glass ya kinywaji endapo ataingia humo. Akihamishiwa kwebye glass nyingine mpya ndiyo glass hiyo itakuwa safi kwa nzi yuleyule na huku paendelee kuwa pachafu wakati nzi mchafu keshatolewa? Haya mnafanya matani.
Nadhani umetumia fikra ya kiwango cha juu kiasi kwamba nahofia kama watakuelewa vizuri!

Wengi wao ni washabiki ambao hawaelewi hata wanachokishabikia!

Upumbavu kwa sasa umegeuzwa na kuwa hekima na busara!
 
Timu ya kampeni inayoambatana na Lowassa
1. Sumaye
2. Ole Medeye
3. John Mrema
4. Mmoja wapo kati ya Mbowe au Lissu (baadhi ya mikutano hawapo kabisa)
5. Mbunge wa jimbo husika kunakofanyika kampeni

Timu ya kampeni inayoambatana na Magufuli
1. Bulembo
2. Kibajaji
3. Mwigulu
4. Makamba Senior
5. Makamba junior
6. Diamond planumz
7. Yamoto band
8. Steve Nyerere
9. Makongoro Nyerere
10. Mkapa (sometimes)
11. Kikwete (sometimes)
12. Wengine wakiwemo kina Warioba, Kinana, nk nk nk nk nk

Hivi kati ya hao wawili ni nani anasaidiwa kuelezea ilani?
 
Back
Top Bottom