Lowassa amtisha Rais Kikwete

Lowassa amtisha Rais Kikwete

"Jana Jumatatu, Kamati ya Maadili ya chama hicho iliyodai ilikuwa na faili la Lowassa na watuhumiwa wengine sita, imesema kuwa mwanasiasa huyo hana tena hatia na kwamba adhabu aliyopewa tayari imemalizika" mi nauliza hiyo kamati inaundwa na akina nani pale CCM ambao wana maadili?
 
Ila jamani Tanzania kuwa na Lowassa ni janga la Taifa
 
CCM ina wakati mgumu sana. maana lowasa ameshateka ccm kwa kiasi kikubwa. alianza kuwwahonnga wajumbe wa vikao muhimu muda mrefu sana.
 
Mufindi mnaogopa nini akiwa Rais huyu ndg? Wacha propaganda nyeusi hapa....ni nani zaidi ya Edward Lowassa ndani ya CCM yetu? hebu tuwe wakweli tuweke mipango binafsi kando

ni kweli mkuu kwa mfumo wa ccm lowasa ndiye anafaa kuwa mgombea. maana aliteka chama muda mrefu sana kutokana na fedha zake.
 
Hebu tafadhali niambieni ni lini huyu Lowasa amewahi kukemea ufisadi?? Mimi huwa naangalia Bunge letu linavyoendesha.Yaani madudu yote yaliyopitishwa pale Bungeni kwake ni poa??.ni wapi aliwahi kumkemea walau Chenge na mafisadi wengine kwa ufisadi wao?? Au hata huko nyumbani kwake Monduli ni lini kawa mkali kwa hilo??? Kikwete mwenyewe alikubali Lowasa ajiudhuru kwa ufisadi wa Richmond…na miaka ya kalibuni Lowasa,Chenge na Rostam kwa mdomo wa huyo Kikwete tuliambiwa kuwa ni magamba makuu na inabidi wayavue!!!…Sasa huu usafi wa Lowasa uko wapi??? Yaani kumchagua Lowasa ni sawa na kutokuwa na gorikipa…magori yote ya kifisadi yataachwa yaingie…
Huyu Lowasa ni lini aliipinga katiba ya Chenge na mwenzake Sitta?? Utaniambiaje kuwa Lowasa atakuja kuwasikiliza wananchi wakati maoni ya wananchi hukutaka kuyatetea pale Bungeni??Hakuna hata siku moja alitoa hoja pale ktk bunge la katiba..sasa Lowasa utanipa hoja zipi za kukuamini kuwa yeye atakuwa mtu wa Watanzania??
Miaka 10 ya iliyopita imetosha …tunataka kwenda mbele

haa haa mapacha watatu wataendelea kuitesa ccm sana..
 
Watu wenye IQ kubwa kama Lowasa hupima mafanikio kabla ya kufanya kitu , hii ndiyo sababu Lowasa hajaongea pale bungeni kwani hata angeongea asingebadili chochote. Na utaona kua hao unaowajua kua wanaongea sana hawakubadili chochote , ni sawa tu na wangekaa kimya!
Lowasa anajua kua ili kumaliza kabisa ufisadi lazima asimamie kutokea Ikulu , kwa kuchukua hatua madhubuti zinazohitajika.
BigUp Mh. Lowassa!
Uswahiba wake na Rost-hamu unatia shaka
 
Hebu tafadhali niambieni ni lini huyu Lowasa amewahi kukemea ufisadi?? Mimi huwa naangalia Bunge letu linavyoendesha.Yaani madudu yote yaliyopitishwa pale Bungeni kwake ni poa??.ni wapi aliwahi kumkemea walau Chenge na mafisadi wengine kwa ufisadi wao?? Au hata huko nyumbani kwake Monduli ni lini kawa mkali kwa hilo??? Kikwete mwenyewe alikubali Lowasa ajiudhuru kwa ufisadi wa Richmond…na miaka ya kalibuni Lowasa,Chenge na Rostam kwa mdomo wa huyo Kikwete tuliambiwa kuwa ni magamba makuu na inabidi wayavue!!!…Sasa huu usafi wa Lowasa uko wapi??? Yaani kumchagua Lowasa ni sawa na kutokuwa na gorikipa…magori yote ya kifisadi yataachwa yaingie…
Huyu Lowasa ni lini aliipinga katiba ya Chenge na mwenzake Sitta?? Utaniambiaje kuwa Lowasa atakuja kuwasikiliza wananchi wakati maoni ya wananchi hukutaka kuyatetea pale Bungeni??Hakuna hata siku moja alitoa hoja pale ktk bunge la katiba..sasa Lowasa utanipa hoja zipi za kukuamini kuwa yeye atakuwa mtu wa Watanzania??
Miaka 10 ya iliyopita imetosha …tunataka kwenda mbele
Mkuu, Lowasa hawezi kuwakemea mafisadi kwa sababu na yeye ni mmoja wao. Hayo madudu wanayofanya akina Chenge ni kwa lengo la kumtumikiamLowasa
 
Mufindi mnaogopa nini akiwa Rais huyu ndg? Wacha propaganda nyeusi hapa....ni nani zaidi ya Edward Lowassa ndani ya CCM yetu? hebu tuwe wakweli tuweke mipango binafsi kando

Kumbe anataka kuwa Rais wa Mufindi, hapo sawa...Ila km ni Rais wa Tanzania basi hafai kabisa!
 
Anaenda kuwatumikia waTanzania wanaohitaji Tumaini Jipya.

Tunaianza Safari ya Matumaini.[

/QUOTE]

Kumbe mnamwogopa kwasababu mlitumia madaraka vibaya sasa tunasema lowassa ndie mkombozi wa wanyonge hakuna wakupinga
 
Ila jamani Tanzania kuwa na Lowassa ni janga la Taifa

Leo anaitisha kaita waandishi wa habari...tetesi ni kua anataka kuongelea kuhusu richmond kweli huyu mzee anaweseka sana sijui nini kiko huko ikulu anachofuata
 
Mkuu, Lowasa hawezi kuwakemea mafisadi kwa sababu na yeye ni mmoja wao. Hayo madudu wanayofanya akina Chenge ni kwa lengo la kumtumikiamLowasa

Leo mmeanza kuumbuana naskia leo ameita waandishi anataka kuongelea kuhusu richmond jamani mtamuua huyu mzee bure.....halafu kma watanzania wanampenda kwanini tarehe 30 wabasi 100 wamekodiwa kuleta wa2 sheikh amri kutoka wilaya zote za arusha.
Hivi ukipendwa na wananchi c wanakuja wenyewe kwa nauli zao hii tabia y kupakiza wa2 kwenye mafuso n kujaza uwanja amerithi kwa ccm wenzie
 
Kuwaongezea adhabu imeshindikana sasa ni kuwachonganisha na viongozi wengine. KWANINI LOWASSA TU LAKINI???? mbona waliofungiwa walikuwa wengi na wote wamefunguliwa???

Hebu mtoa mada nijuze kwanini umemzungumzia Lowassa peke yake?
 
Back
Top Bottom