Lowassa amtisha Rais Kikwete

Lowassa amtisha Rais Kikwete

NDANI ya ccm hakuna mwenye sifa za kugombea uraisi wote ni mafisadi .
VOTE FOR UKAWA.
Ina maana huko ukawa mgombea urais hana jina? Wewe unasema VOTE FOR UKAWA, ina maana hata akigombea Lipumba tuVOTE FOR UKAWA?
 
safari ya matumaini imeanza,hizi ni rasharasha tu,mengi tulipitia hizi taarab hazitotuyumbisha..
TEAM lowassa

Mimi nimejialika mwenyewe kwenye safar ya matumaini, na nitajilipia kila kitu katika safari hii! Unayefikir lowassa anatoa ela si uje na wewe upewe? Au hutaki ela? Acheni hisia za k........
 
Last edited by a moderator:
huyo mtu wenu akichukua uraisi kwa nguvu ya pesa zake mi naukana uraia wa nchi hii
 
Ina maana huko ukawa mgombea urais hana jina? Wewe unasema VOTE FOR UKAWA, ina maana hata akigombea Lipumba tuVOTE FOR UKAWA?

Hata kama ni Lipumba ndo mgombea uraisi kupitia UKAWA tutampa kura kuliko ccm.
VOTE FOR UKAWA
 
Hakika naiona ccm ikisambaratika na kupotea kwenye ramani ya duni
 
Mkuuu Lowasa yeye anachotakiwa ni kusafishwa na yeye kutoa maelezo.
Yeye aliwajibika kutokana na walikuwa chini yake kufanya makosa. Yeye akaamua kubeba msalaba kwani bila yeye Serikali isingekalika.
Kuamua kuokoa serikali na gharama sisizo za lazima akaona yeye angatuke

Well said, hiyo inajulikana lakini wenzake wakamgehuzia kibao na kuhanza kumkandia!! We sema Mh.Lowassa ana uvumilivu husio wa kawaida - angekuwa mbinafsi akahamua kutupilia mbali MSALABA na kuhakikishia Serikali isingekalika. Nikiona madalali wamekazania kumchafua na kumzulia mambo ya kubuni tu wanafikiri Watanzania hatuna akili za kuchumbua mambo nabaki kuwasikitia madalali uchwala walio jaa hila za kila sampuli, nawapa ushauri wa bure Mh.Lowassa hivi sasa ni Steam Roller akisha gather momentum hakuna kigingi chenye ubavu to stop him.
 
Back
Top Bottom