Hebu tafadhali niambieni ni lini huyu Lowasa amewahi kukemea ufisadi?? Mimi huwa naangalia Bunge letu linavyoendesha.Yaani madudu yote yaliyopitishwa pale Bungeni kwake ni poa??.ni wapi aliwahi kumkemea walau Chenge na mafisadi wengine kwa ufisadi wao?? Au hata huko nyumbani kwake Monduli ni lini kawa mkali kwa hilo??? Kikwete mwenyewe alikubali Lowasa ajiudhuru kwa ufisadi wa Richmond
na miaka ya kalibuni Lowasa,Chenge na Rostam kwa mdomo wa huyo Kikwete tuliambiwa kuwa ni magamba makuu na inabidi wayavue!!!
Sasa huu usafi wa Lowasa uko wapi??? Yaani kumchagua Lowasa ni sawa na kutokuwa na gorikipa
magori yote ya kifisadi yataachwa yaingie
Huyu Lowasa ni lini aliipinga katiba ya Chenge na mwenzake Sitta?? Utaniambiaje kuwa Lowasa atakuja kuwasikiliza wananchi wakati maoni ya wananchi hukutaka kuyatetea pale Bungeni??Hakuna hata siku moja alitoa hoja pale ktk bunge la katiba..sasa Lowasa utanipa hoja zipi za kukuamini kuwa yeye atakuwa mtu wa Watanzania??
Miaka 10 ya iliyopita imetosha
tunataka kwenda mbele