Lowassa amjibu Nape

Lowassa amjibu Nape

Akili ya Lowasa kumbe ya kawaida sana mafuriko ya kubumba anamdanganya nani.
 
EL anamajibu ya kitoto sn!! Eti mafuriko, tehetehe umechimba mwenye mfereji kutoka baharini kuleta kwako halafu mafuriko yanatokea unasema huwezi kuyazuia!! Eti tumpe nchi, kweli tz km geto!
 
teh teh "Low hasa" bana, hapo kitakachofuatia watu wataandamama kwenda kumuona wakishinikiza awaruhusu waingie halaf atakuambia siwezi kuwafukuza wageni waliokuja kunitembelea nyumbani!
 
kama kuna mtu ana video clip ya taarifa ya habari ya jana tv yoyote inayomuhusu lowassa naomba aniwekee hapa
 
hahahahah!! team loasa kazi ipo.. pamoja na kuandamana kawaita mafuriko....mmmmmmh!! ungetumia lugha nyingine mheshimiww
 
Viongozi waandamizi wa CCM wana matatizo huenda kuliko hata hao wanao wabainishwa wakosaji. Katika muktadha huo kati ya wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro cha urais, Edward Lowassa na Lazaro Nyalandu wamekumbana na vipindi vigumu kutokana na kufahamika kwao kuutaka Urais. Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana alimsifu Lowassa na kumponda Nyalandu kuwa mzururaji.

Sasa anakuja Nape anasema Lowassa hatakiwi CCM?
 
Hata Bill Gates hawezi kuyafanya mnayomzushia Lowassa, ana pesa gani za kuhonga maelfu na maelfu ya watu mpaka akubalike kiasi hicho?
WAPINZANI WA LOWASSA KUBALINI TU KWAMBA MMEZIDIWA NA MBADILI MBINU, LAKINI HUU UZUSHI ETI ANAKATA 'MPUNGA' NAONA HAUNA MASHIKO!
 
Baada ya sinema za muda mrefu za wananchi yaani wachungaji, wanafunzi, maaskofu, masheikh na watu mbalimbali wengine wakitoka songea, kibaha,mwanza bila kujuana na kufka Kwa wakati mmoja na kukuta wameandaliwa na mwenyeji wao pa kukaa na chakula huku akiapa kuwa hakuwa na taarifa za ujio hatima kesho tutashuhudia senema nyingine za watu mbalimba kuprint Tshirt mbalimbali huku tukiaminishwa kila mmoja kaprint kuvyake na kila mtu katoka huko kivyake na hatimaye aliyekuwa anaombwa nae kesho ataomba lidhaa kupelekwa magogoni najiuliza kuomba lidhaa ya nini tena....

Watanzania siyo wapumbavu tena hatuwezi kukubali jambazi kutoka chama cha majambazi, majangili, wauza sembe, waliojaa tuhuma za ubakaji eti tuwaruhusu kuingia ikulu tena, Ndugu zangu watanzania najua wengi Wetu tunazitamani sana hizo pesa za jambazi with wangu kwenu ukipata fursa chukua hizo pesa ukalipie ada ya Mtoto wako na kama Ni muumini mzuri peleka kanisani au msikitini zikaombewe Mtoto wako asije akawa jambazi kama huko zilikotoka na ukipendezwa kama Ni mwanaharakati chukua fungi peleka kwenye chama chako kikasaidie mabadiliko...
 
Back
Top Bottom