Lowassa amjibu Nape

Lowassa amjibu Nape

Kupigwa chini kwa lowasa kutatumika njia kama iliyotumika kwa samwel sitta kwenye uspika, so EL watamzodoa kwa hiyo. But ndo mwisho wa ccm ya JKN unaishia hapo.



hamna mwenye ubavu wa kumpiga chini lowasa......
 
Kupitia akaunt ya Twitter ya Laigwani Lowassa (EdwardLowassa) Amefunguka Yafuatayo:

Ati Nyerere alimkataa Lowassa, hakuna dhambi kubwa mnatenda kama kuongopa kwa kutumia jina la Mwalimu Nyerere.

Ni kweli mwanangu Frederick anamiliki nyumba Uingereza, lakini hiyo ni nyumba yake, si yangu.

Mkapa alipounda Baraza la Mawaziri jipya mwaka 1995 alikuacha. Wao wanasema kwamba Mwalimu alimwambia asikupe hata Uwaziri. Hizo ni porojo.


Ni kweli namiliki ranchi Mzeri Handeni. Niliipata nikiwa Waziri wa Mifugo na nilifuata taratibu zote za kisheria. Sijaiba kama wengi wenu.


Richmond: mapenzi ya nchi yangu yalinipa moyo kuhifadhi aibu ya utawala, nilibeba lawama ila wakati wake utafika tu.


Richmond: mapenzi ya nchi yangu yalinipa moyo kuhifadhi aibu ya utawala, nilibeba lawama ila wakati wake utafika tu.


Ni kweli kila MNEC nilimpa milioni 1,(milioni 370) na kila mjumbe 500,000 msimu wa sikukuu. Ni fedha zangu na marafiki. Nimezitoa wazi wazi.


Msafi na mwadilifu ndani ya CCM awe wa kwanza kuokota jiwe kumrushia Lowassa.


Wote wanajua endapo Edward atapita utakuwa mwisho wao kukosa kuwajibika kwa wananchi. Wanatumia kivuli cha uchafu kujiita wazalendo zaidi.


Ni kweli nalipa wanahabari kufanya kazi na pia wataalam mbalimbali wa mikakati ndani na nje ya nchi. Mwanasiasa gani asiyefanya hivyo?!!


Siku zote Nape Nnauye hajui anazungumza nini, apuuzwe tu, ni kijana mdogo ambaye anatumika bila kufahamu.


Nchi inakosa mwelekeo sababu ya kukosa uongozi imara. Sishangai Jussa kusema UKAWA iko tayari kushirikiana hata na ibilisi mradi CCM ing'oke


RT@Chahali Lowassa ni janga La kitaifa.Miaka miwili tu Uwaziri Mkuu,akatutapeli na Richmond.Akipewa #Urais2015 si atauza nchi?- HUJUI UKWELI


Nape 2005 alikuwa anasema Kikwete kuwa akichukua nchi atahama nchi. Nape hajifunzi kutokana na makosa, anarudia makosa yale yale.


Wote wanajua endapo Edward atapita utakuwa mwisho wao kukosa kuwajibika kwa wananchi. Wanatumia kivuli cha uchafu kujiita wazalendo zaidi.




Kama lowasa alishindwa kuweka wazi tukio la Richmond kwa kutetea Tawala dhalimu bado anajitapa kwa ujinga huo ni wazi haziko sawa kichwani
 
Nna mkosi mie, kila nikiweka uzi, unaunganishwa na mwingine, mbona nyingine hazijagi kuunganishwa na zangu? Mods, mimi nilikuwa natoa Live tweets zake muda huu anazoziachia twitter, sasa mnapounganisha na namna alivyomjibu Nape inakuwa sio sawa maana post anazoweka now zinajitegemea na amejibu wengi sio Nape tu na anaendelea kupost... Sasa hapa ntaendelea kuUpdate vipi akat Post imegeuzwa Comment. Mshaniudhi siweki tena update nalog out sasa, Usiku mwema

cc Invisible

Mkuu HUNIJUI usilalamike hii hali ishakua kawaida sana, hawa mods watatufukuza wengi sana humu, mpaka mtu unajiuliza kuhusu ufahamu wao wa mambo!hata Mimi nilishawahi kuuliza ni kwanini wanaunganisha threads ambazo zina habari tofauti kabisa?Labda hua wanasoma headings tu.
 
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,

kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,

Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.

Kwa nini mnamsingizia Nyerere Uongo? Ni Lini Nyerere alisema Lowasa ni Mjinga ? Lini alisema hayo? Kumbuka kipindi kile wabaya wa Lowasa walipenyeza Fitna kwa Nyerere kwa lengo la kumwangusha lakini Nyerere alizungumzia Utajiri tu ingawa baadae alitambua kuwa yaliluwa majungu tu, Nyerere kafa pasipo na Kinyongo wala Tatizo na Lowasa, Huyo Nape kapewa Pesa na Membe ili amchafue Lowasa, Membe kwa sasa anayatumia yale Mabilioni ya marehemu Gadafi kuwanunua watu wa kuwachafua wote wenye nia ya kugombea Urais hususani Lowasa.
 
Wanagombania nini wajinga hawa ili hali CDM imekwishachukua nchi, watupishe tupange mipango ya maendeleo kwa taifa
 
Nape hafai kuwa msemaji wa chama, kwani tayari ana-side...

Kanunuliwa na Membe hapo alipo anamtumikia Membe wanakula pesa za marehemu Gadafi laana ya marehemu Balozi wa Libya itamkuta na Nape kwani anakula pesa za haramu zilizoporwa na Membe kisha akamuua balozi wa Libya ili kuficha ushahidi.
 
Lowasa amemshangaa Nape kwa kutoa matamko bila vikao vya chama! Amehoji kauli anazotoa zimetokana na kikao kipi cha Chama?

Lowasa amesema CCM anayoifahamu yeye mambo yote hujadiliwa na kuamuliwa na vikao vya chama!

Source: ITV habari kwa saa!

Kama Mungu angeumba dunia kwa vikao hakuna ambalo lingefanyika. Ndio maana wengine hatumhusudu huyu jamaa. Nadharia ya uongozi sijui alijifunza wapi.
 
Wanagombania nini wajinga hawa ili hali CDM imekwishachukua nchi, watupishe tupange mipango ya maendeleo kwa taifa

hahahahahahahaha ingepaswa u fikirikwanza ndugu. shughuli ya hapo baaadae kwenye uchaguzi si ya kitoto
 
Last edited by a moderator:
Nape katumwa na Membe tu baada ya kuwa na kikao cha siri naye, kama Lowasa anataka kujua ni kikao gani walikaa basi atambue kuwa kikao pekee kilikuwa ni baina ya Membe na Nape tu ,
 
hahahahahahahaha ingepaswa u fikirikwanza ndugu. shughuli ya hapo baaadae kwenye uchaguzi si ya kitoto

Ni kweli lakn nani kafa mara mbili??? ukifa umekufa tu, CCM imekwisha kufa au wataweka pingamizi hata na mgombea urais???? kama serikali za mitaa na vitongoji?
 
Basi tutaona, kusoma na kusikia mengi hi 2015.

Tutarajie vioja Lukuki, na endapo Membe atapewa nafasi tutarajie kufikishwa the Hague na Wananchi wa Libya wakidai pesa zao na Uchunguzi juu ya kifo cha balozi wao, pia kumbuka Kuwa Membe ni mtu wa Visasi akipewa Nchi Lazima magereza yatafurika wafungwa wa kisiasa na hata kunyonywa kwa wingi, Msiombee Membe akachukua Nchi mtajuta kuzaliwa Tz
 
Back
Top Bottom