minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,313
- 22,320
ha ha ha ha ha mbavu zangu mie!!!!
.
Kachukue kingilio kwa Membe kwani ndiye muongoza movie yoote
ha ha ha ha ha mbavu zangu mie!!!!
.
Lowasa anatumia nguvu kuliko akili, amekosea timing kabisa atapigwa chini mda si mrefu na atapata presha kwa vijisenti vyake alivyotawanya kama njugu
Lowasa amemshangaa Nape kwa kutoa matamko bila vikao vya chama! Amehoji kauli anazotoa zimetokana na kikao kipi cha Chama?
Lowasa amesema CCM anayoifahamu yeye mambo yote hujadiliwa na kuamuliwa na vikao vya chama!
Source: ITV habari kwa saa!
Nape anashindana na Lowassa ambaye hata bosi wake hamuwezi.
Lowasa anatumia nguvu kuliko akili, amekosea timing kabisa atapigwa chini mda si mrefu na atapata presha kwa vijisenti vyake alivyotawanya kama njugu
Mimi ni mwanaharakati sina chama,chama chochote kikiharibu nakisema,kikifanya vizuri nakipongezaMtetezi wa ACT, kibaraka wa CCM...huna msimamo:sly:
Yaani inabidi ajifunze kwa Mashishanga huyu mzee alimuunga mkono Sumaye wazi wazi kabisa,na hadi mama Mashishanga(RIP) akawa mmoja wa wadhamini kipindi kile wagombea wanatafuta wadamini.Jakaya aliposhinda Mashishanga alichezea fagio la hatari.Hakurudi kwenye ukuu wa mikoa,wenzake waliokaa kimya bila kuonyesha upande wakarudi.Atajiunga na mapacha watatu we mwache tu akorome hovyohovyo tu.
Yaani inabidi ajifunze kwa Mashishanga huyu mzee alimuunga mkono Sumaye wazi wazi kabisa,na hadi mama Mashishanga(RIP) akawa mmoja wa wadhamini kipindi kile wagombea wanatafuta wadamini.Jakaya aliposhinda Mashishanga alichezea fagio la hatari.Hakurudi kwenye ukuu wa mikoa,wenzake waliokaa kimya bila kuonyesha upande wakarudi.
lowasa amemshangaa nape kwa kutoa matamko bila vikao vya chama! Amehoji kauli anazotoa zimetokana na kikao kipi cha chama?
Lowassa amesema ccm anayoifahamu yeye mambo yote hujadiliwa na kuamuliwa na vikao vya chama!
Source: Itv habari kwa saa!
=======================
Wewe si unategemea kuwa Firstlady kupitia KagenziTatizo Nape kwenye hili swala pamoja na kuwa msemaji wa chama hayuko natural toka zamani..ndio maana ata kama anafanya kazi yake wengine wanadhani anafanya kwa sababu binafsi!
NB:Hili swala haliwezi kuwasaidia UKAWA kwenda ikulu na wala wasijidanganye ...Rais wa nchi hii hawezi kutoka nje ya CCM..
Lowasa ana uhakika kuwa kwenye kikao chochote cha CCM atapeta na wala hawezi kulaumiwa kwa sababu wajumbe wengi yaani zaidi ya robo tatu ya wajumbe wake keshawanunua na watakuwa upande wake na kamwe kikao hakiwezi kumkemea hata angekuwa amekosea kiasi gani. Tuendelee kuangalia hii movie.
Wewe si unategemea kuwa Firstlady kupitia Kagenzi