Lowassa amjibu Nape

Lowassa amjibu Nape

Fita imekorea mura, Fita ni kali muraaaa!!! yaani unakuuja fitani bila nyengo muraa...... hatariiii URAIS.
 
Baada ya sinema za muda mrefu za wananchi yaani wachungaji, wanafunzi, maaskofu, masheikh na watu mbalimbali wengine wakitoka songea, kibaha,mwanza bila kujuana na kufka Kwa wakati mmoja na kukuta wameandaliwa na mwenyeji wao pa kukaa na chakula huku akiapa kuwa hakuwa na taarifa za ujio hatima kesho tutashuhudia senema nyingine za watu mbalimba kuprint Tshirt mbalimbali huku tukiaminishwa kila mmoja kaprint kuvyake na kila mtu katoka huko kivyake na hatimaye aliyekuwa anaombwa nae kesho ataomba lidhaa kupelekwa magogoni najiuliza kuomba lidhaa ya nini tena....

Watanzania siyo wapumbavu tena hatuwezi kukubali jambazi kutoka chama cha majambazi, majangili, wauza sembe, waliojaa tuhuma za ubakaji eti tuwaruhusu kuingia ikulu tena, Ndugu zangu watanzania najua wengi Wetu tunazitamani sana hizo pesa za jambazi with wangu kwenu ukipata fursa chukua hizo pesa ukalipie ada ya Mtoto wako na kama Ni muumini mzuri peleka kanisani au msikitini zikaombewe Mtoto wako asije akawa jambazi kama huko zilikotoka na ukipendezwa kama Ni mwanaharakati chukua fungi peleka kwenye chama chako kikasaidie mabadiliko...

Mnataka maendeleo ? Mnataka kujiona mpiga hatua ya Nchi kuwa na Ndege za serikali au za Nchi ? Reli ? Barabara nzuri baada ya kuondoa magari mazito kwa kuweka reli ya mizigo ? Mnataka Mwanza wapate meli mpya ya kuhudumia Kanda ya Ziwa maana ya Musoma , Mwanza na Bukoba hata kwenda Kenya ? Mnataka shule na zirudie ubora ? Mnataka madawa hospitalini na Zahanati zienee na madawa ? Mnataka jeshi la polisi jipya linalo jua maana kusimamia haki na sheria katika vyama vingi ? Kama jibu lako ni ndiyo then Mpe W.P.Slaa PhD kura yako na kama wataka mauza mauza na ma scandal nenda upande wa pili . Lowasa hana guts za kupambana na maovu maana si msafi hata nukta .
 
Ccm ni mafisad wanatumia kila mbinu chafu ili kupata uongoz na waendeleze wiz wao, Watz wanaliona hilo na hawata kubal Mafisad wa ccm kuchukua Nchi ili kuwaibia Wananchi na wananchi hawatakubal kuyachagua Majambiz, magaidz majiz ya Rasilimal za Taifa,ccm ni zaid ya Ebola weka mbal na Watz.
 
mkuu ila Dr.Kachoka Kwanini Msimwache Lipumba Amalize Hili Game?

Kuchoka kivipi embu dadavua manake kichwa kimoja cha Dr wa ukweli dr aliyesomea fani ya udr hajapewa ni kama vichwa vyote wa wabunge wa ccm.
 
Thread ya kipuuzi sana hii, Mods iondoeni

Ukwl unauma nyambafu ccm ni Mafisad, Majambaz, majiz wa rasilimali za Taifa, hv hamsikii hata aibu mnavyowaibia Watz? Na kutumia Rushwa na ufisad wenu kutafuta Madaraka?
 
Mwalimu Nyerere alisema 'Hapa hatumchagui mtu maarufu ,tunamchagua mtu safi na huyu si safi ambaye hapo alimlenga Lowasa.Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe naye chai.Wengine wanasema aah ni tuhuma tu.
Samueli Sitta]Yusufu Makamba ]mnasisima hapa mnasema ni tuhuma ,tuhuma tu.Lakini mtakumbuka mke wa kaisari alipotuhumiwa kwa ugoni Kaisari akaagiza uchunguzi ufanyike .Uchunguzi ukafanyika ikabainika kwamba sio kweli.Lakini Kaisari bado akamuacha ,akasema mke wa kaisari hapaswi hata kutuhumiwa .
Na sisi hapa mgombea wetu hapaswi hata kutuhumiwa .wakati wapo wengine safi ambao hawana tuhuma.
Kama mkimteua huyo mimi sitapiga kampeni .Siko tayari kumsafisha mtu matope ndio nimuombee kura
Hapana kabisa.Huyu mimi namjua si msafi na nchi nzima inajua siyo msafi.hafai kuwa mgombea wetu'Mwl.Juliasi Nyerere NEC dodoma ,Juni 1995.
Nimeona niandike hayo maneno hapa kwani yana faida kubwa sana kwa watanzania wanaiotakia mema nchi yetu .Nyerere hayupo duniani tena lakini maneno yake na wosia wake utaendelea kudumu daima.
CCM lazima mtambue IKULU SIYO PANGO LA MAFISADI .
CCM lazima mtambue IKULU SIYO WODI YA WAGONJWA.
CCM lazima mtambue Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watanzania wanataka mabadiliko wakiyakosa ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm sasa ni wakati muafaka kwa watanzania kutafuta mabadiliko nje ya ccm.
 
Mtalia mwishoni

vijana inabidi endapo Jambazi Lowasa atapitishwa na chama cha majangiri kugombea.Sisi vijana tujipange kuingia barabarani tuandamane na tufanye vujo kupinga nchi yetu kuikabidhi kwa mafisadi.Lowasa ikuru hapana.
 
Thread ya kipuuzi sana hii, Mods iondoeni

Ukwl unauma nyambafu ccm ni Mafisad, Majambaz, majiz wa rasilimali za Taifa, hv hamsikii hata aibu mnavyowaibia Watz? Na kutumia Rushwa na ufisad wenu kutafuta Madaraka?
 
vijana inabidi endapo Jambazi Lowasa atapitishwa na chama cha majangiri kugombea.Sisi vijana tujipange kuingia barabarani tuandamane na tufanye vujo kupinga nchi yetu kuikabidhi kwa mafisadi.Lowasa ikuru hapana.

Huna kazi ya kufanya hadi uende huko barabarani?
 
Tatizo Nape kwenye hili swala pamoja na kuwa msemaji wa chama hayuko natural toka zamani..ndio maana ata kama anafanya kazi yake wengine wanadhani anafanya kwa sababu binafsi!

NB:Hili swala haliwezi kuwasaidia UKAWA kwenda ikulu na wala wasijidanganye ...Rais wa nchi hii hawezi kutoka nje ya CCM..

hili jamaa kweli vuvula!!!!
 
Chadema toka viunga vyoooote vya jiji la Arusha muwapokee wageni wenu kwa NDEREMO na VIFIJO.
 
Hivi lowasa leo atasoma taarifa ya kamati yake? Maana tangu ateuliwe kuwa Mwenyekiti hajawahi kusoma taarifa.
 
Kosa alilofanya JK ni kumpa huyu kichaa nafasi ya Ukatibu Mwenezi wa CCM wakati ni domo kaya mkubwa anaufaham mdogo sana katika politics. Katika suala la wafuasi ni suala la kisiasa sasa akiwa anapendwa na wengi huwezi kuwaziba midomo wala masikio hata macho kuona kinachoendelea hapa duniani. Viva EL2015 Presidency Candidate against Ukawa.
 
Lwasa hafai kuwa raisi hata kidogo labuda mana watanzania bwana hatunazo tunaweza kumupa
 
Back
Top Bottom