Lowassa amjibu Nape

Lowassa amjibu Nape

Siamini kama Lowassa ni mweupe hivi. Mbona hajawahi kuhoji yote anayosema Nape kwenye mikutano ya adhara. Anayosema kwenye mikutano yanatoka kwenye vikao gani.
 
Nape Mnauye aache kuweweseka na badala yake afuate taratibu za chama katika kila jambo analofanya na kuongea kwa manufaa yake kisiasa na heshima yake.
 
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,

kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,

Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.
Nyerere hakuwa mungu na hakuwahi kusema edi ni mjinga.labda alisema wewe ni mpumbavu tena adiot.
 
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,

kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,

Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.

Hivi ukiteuliwa kuwa msemaji wa kampuni,chama cha siasa au hata muungano wowote ule ni unajisemea tu unavyoona kutokana na mawazo yako au ni unatumwa ukaseme uliyoagizwa baada ya vikao vya ndani na vya wazi!!? au ukiteuliwa msemaji ndio kwamba unamawazo mazuri saana kuliko wenzako ndani ya muungano huo kwa hiyo ni sawa tu ukijisemea uonavyo bila kuwashirikisha wenzako!!? hii haiwezi kusababisha kuwa moja ya udhaifu au sababu inayogawa makundi ndani ya vyama!!?
 
Dalili za kura za hasira mwezi Oktoba zinaanza kuonekana. Naiona CCM kama ilivyokuwa KANU. Yenyewe inajiamini kweli... Ngoja tusubiri tuyaone
 
Kiongozi anayesubiri kuelezwa kila jambo la kusema ni kiongozi dormant. Tamko la kiongozi wa kundi lolote linapaswa kutoa mwelekeo wa kundi husika wakati mwingine tamko la kiongozi hutafsiriwa kama amri. Kama kweli Nape ni Katibu Mwenezi wa CCM, huo ndiyo msimamo wa chama. Akili ndogo za Lowasa alitaka kosa atende yeye halafu aalikwe kwenye mjadala wa kupinga vitendo vyake? Lowasa kwa umri wake katika siasa hajui mambo yote yanayoamuliwa kwenye vikao vya chama huanzia nje ya vikao, vikao ni ceremonial tu.
Alisema nini na wapi uliponukuu hayo maneno ya Nyerere?? kua EL ni mjinga??
Hata kama Nape msemaji wa chama.. lini walikaa KIKAO hivi karibuni mpaka kufikia Nape kumtamkia maneno EL
Acha ushabiki mandazi wivu unakusumbua si buree weee umetumwa!!
 
Huyu Nape siku Lowasa akiwa Raisi,basi Nape atajikuta hana ajira.Nape anahakikisha Lowasa asipitishwe ili walau apate ukuu wa mkoa kutoka kwa Membe,Magufuli

Mtetezi wa ACT, kibaraka wa CCM...huna msimamo:sly:
 
Usipotoshe Mkuu, hakuna mahali ambako UKAWA walitamka kuwa wakiingia madarakani watalipiza kisasi! Usitake kuwachonganisha UKAWA na wananchi, nayakataa mawazo yako!!

Sipotoshi huo ndo ukweli Ccm wahujumu uchumi kama lowasa huwabadilishia sehemu mfano kama alikuwa kigoma anapelekwa iringa Mzee Mamvi katuumiza watanzania kuilipa kampuni hewa ya richmond milioni 250 kwa siku kwa muda wa miaka 2. UKAWA haitaji huruma kaa ukilitambua hilo.
 
Naamini alimaanisha neutral- hoji vitu vya msingi mangi!!

Nilipokusoma hapa ulipotumia neno "naamini" kwenye mawazo ya mtu mwingine. Nilidhani labda umeteleza.

kumbe Mpare?! ndio maana ushamba mwingi- Mangi ni kiongozi kwa taarifa yako!!!
By your personal definition, Kikwete, Lipumba ni Mangi??
Tatizo lako ni zaidi ya kuteleza!
 
Kauli ya Nape ni kauli ya Jk.

Lowassa jiandae kuenguliwa.Hivyo vikao unavyoongelea vikikaa kazi ni moja tu nayo ni kuhakikisha unapigwa chini.

Hata hivyo,hii ni laana ili tu CCM iangamie kupitia Lowassa na Kikwete.

Hata Mungu amewachoka na this time around lazima msambaratike kama sio kuhujumiana.

Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani.

Mmetutendea uovu mwingi watanzania na sasa mungu kasema yatosha.

Mnara wa babeli unakaribi kuanguka.

Haya maneno ni mazito sana,mi sina la kusema,inawezekana haya yanafanyika ili neno lile alilosema Mwalimu Nyerere lipate kutimia,Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM.
 
Dalili za kura za hasira mwezi Oktoba zinaanza kuonekana. Naiona CCM kama ilivyokuwa KANU. Yenyewe inajiamini kweli... Ngoja tusubiri tuyaone
bora CCM kufa kuliko kuongozwa na mwizi, tutaficha wapi nyuso zetu?
 
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,

kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,

Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.

msemaji wa chama sio kusema chochote lazima kitu kinachoitwa tamko la chama kitokane na makubaliano ya kikao ..............hiyo inafanyika ACT tu
 
Naona zigo la Lowassa katwishwa Nape.. Wenye chama wao kimya kama hawaoni vile... Mzee Mwinxi, Mpaka, Warioba, Salim,Mangula, Kinana mko wapi??
 
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,

kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,

Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.
Nimsemaji wa mambo ambayo hayajadiliwa?!!! Mbona itakuwa maajabu ya dunia. Na hicho chama kitakuwa mali yake nape
 
msemaji wa chama sio kusema chochote lazima kitu kinachoitwa tamko la chama kitokane na makubaliano ya kikao ..............hiyo inafanyika ACT tu
Act IPI hiyo,limbu mzalendo ama mwigamba mvamizi
 
bora CCM kufa kuliko kuongozwa na mwizi, tutaficha wapi nyuso zetu?
bora ccm kufa kuliko kuongozwa na mwinzi sasa ndani ya ccm na msafi pia ife mara ya ngapi tunawasubiri octoba kuwazika rasmi Lowasa hiki alichokigundua kitaimaliza ccm
 
Back
Top Bottom