Lowassa amjibu Nape

Lowassa amjibu Nape

Kama Lowassa atakatwa jina HAKI A NANI nawaambia iliyokweli HALITASALIA JIWE JUU YA JIWE NDANI YA CCM.

Nguvu ya Lowassa ni kubwa kuliko maamuzi wanayotarajia kuyafanya,walishindwa kumuengue akiwa bado mchanga sasa mti LOWASSA umekuwa na kuota mizizi mingi na Imara.

Formula ile ile iliyomwingiza Jakaya Kikwete Ikulu ndio anatembea nayo EDDO kuelekea MAGOGONI.

Wakate Jina la nani?

THUBUTUUUU!!!
 
Yetu macho,kama khanga za rumumba na buku 10 yatosha,ngoja watuchakachue na BVR.
 
Tatizo Nape kwenye hili swala pamoja na kuwa msemaji wa chama hayuko natural toka zamani..ndio maana ata kama anafanya kazi yake wengine wanadhani anafanya kwa sababu binafsi!

NB:Hili swala haliwezi kuwasaidia UKAWA kwenda ikulu na wala wasijidanganye ...Rais wa nchi hii hawezi kutoka nje ya CCM..

Niliwahi soma humu u msomi mwanasheria.. Natural maanake nini hapo juu
 
Tatizo Nape kwenye hili swala pamoja na kuwa msemaji wa chama hayuko natural toka zamani..ndio maana ata kama anafanya kazi yake wengine wanadhani anafanya kwa sababu binafsi!

NB:Hili swala haliwezi kuwasaidia UKAWA kwenda ikulu na wala wasijidanganye ...Rais wa nchi hii hawezi kutoka nje ya CCM..

Niliwahi soma humu u msomi mwanasheria.. 'Natural' maanake nini hapo juu
 
Kumzuia Lowasa kuwa mgombea urais kwa tiketi CCM;kupambana ni Tufani yenye kubomoa chama cha mapinduzi vipande vipande !
 
Kwangu mimi Lowasa is a GREAT CONQUERER ndani ya chama chake. Against all odds, he is back on track. Hilo limemshinda ZITTO.
 
Kupitia akaunt ya Twitter ya Laigwani Lowassa (EdwardLowassa) Amefunguka Yafuatayo:

Ati Nyerere alimkataa Lowassa, hakuna dhambi kubwa mnatenda kama kuongopa kwa kutumia jina la Mwalimu Nyerere.

Ni kweli mwanangu Frederick anamiliki nyumba Uingereza, lakini hiyo ni nyumba yake, si yangu.

Mkapa alipounda Baraza la Mawaziri jipya mwaka 1995 alikuacha. Wao wanasema kwamba Mwalimu alimwambia asikupe hata Uwaziri. Hizo ni porojo.

Ni kweli namiliki ranchi Mzeri Handeni. Niliipata nikiwa Waziri wa Mifugo na nilifuata taratibu zote za kisheria. Sijaiba kama wengi wenu.

Richmond: mapenzi ya nchi yangu yalinipa moyo kuhifadhi aibu ya utawala, nilibeba lawama ila wakati wake utafika tu.

Ni kweli kila MNEC nilimpa milioni 1,(milioni 370) na kila mjumbe 500,000 msimu wa sikukuu. Ni fedha zangu na marafiki. Nimezitoa wazi wazi.

Msafi na mwadilifu ndani ya CCM awe wa kwanza kuokota jiwe kumrushia Lowassa.

Wote wanajua endapo Edward atapita utakuwa mwisho wao kukosa kuwajibika kwa wananchi. Wanatumia kivuli cha uchafu kujiita wazalendo zaidi.

Ni kweli nalipa wanahabari kufanya kazi na pia wataalam mbalimbali wa mikakati ndani na nje ya nchi. Mwanasiasa gani asiyefanya hivyo?!!

Siku zote Nape Nnauye hajui anazungumza nini, apuuzwe tu, ni kijana mdogo ambaye anatumika bila kufahamu.

Nchi inakosa mwelekeo sababu ya kukosa uongozi imara. Sishangai Jussa kusema UKAWA iko tayari kushirikiana hata na ibilisi mradi CCM ing'oke

RT@Chahali Lowassa ni janga La kitaifa.Miaka miwili tu Uwaziri Mkuu,akatutapeli na Richmond.Akipewa #Urais2015 si atauza nchi?- HUJUI UKWELI

Nape 2005 alikuwa anasema Kikwete kuwa akichukua nchi atahama nchi. Nape hajifunzi kutokana na makosa, anarudia makosa yale yale.

Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,

kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,

Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.

Kwa hiyo kuwa msemaji wa chama kunampa mamlaka ya kusema hata hisia na chuki zake binafsi dhidi ya wanachama wenzake kwa Mgongo wa cheo chake? Huoni kama hayo ni matumizi mabaya ya Cheo chake?
 
Haya kazi imeanza sasa!

Kwa uzoefu wangu,mods huu uzi watauondo tu hata kama source itakuwa ni ya kuaminika.
 
Nape ni bosi wa lowasa.
Nape kosa lako ni kutokumvua huyo fisadi gamba sasa atakupanda kichwani

Thubutu,ndivyo unavyomdanganya ati yeye ni boss wa Lowassa? Mwambie ajaribu aone mziki wake,muulize hata kama anakumbuka huo msemo wa "kuvua Gamba".
 
Kupitia akaunt ya Twitter ya Laigwani Lowassa (EdwardLowassa) Amefunguka Yafuatayo:

Ati Nyerere alimkataa Lowassa, hakuna dhambi kubwa mnatenda kama kuongopa kwa kutumia jina la Mwalimu Nyerere.

Ni kweli mwanangu Frederick anamiliki nyumba Uingereza, lakini hiyo ni nyumba yake, si yangu.

Mkapa alipounda Baraza la Mawaziri jipya mwaka 1995 alikuacha. Wao wanasema kwamba Mwalimu alimwambia asikupe hata Uwaziri. Hizo ni porojo.

Ni kweli namiliki ranchi Mzeri Handeni. Niliipata nikiwa Waziri wa Mifugo na nilifuata taratibu zote za kisheria. Sijaiba kama wengi wenu.

Richmond: mapenzi ya nchi yangu yalinipa moyo kuhifadhi aibu ya utawala, nilibeba lawama ila wakati wake utafika tu.

Richmond: mapenzi ya nchi yangu yalinipa moyo kuhifadhi aibu ya utawala, nilibeba lawama ila wakati wake utafika tu.

Ni kweli kila MNEC nilimpa milioni 1,(milioni 370) na kila mjumbe 500,000 msimu wa sikukuu. Ni fedha zangu na marafiki. Nimezitoa wazi wazi.

Msafi na mwadilifu ndani ya CCM awe wa kwanza kuokota jiwe kumrushia Lowassa.

Wote wanajua endapo Edward atapita utakuwa mwisho wao kukosa kuwajibika kwa wananchi. Wanatumia kivuli cha uchafu kujiita wazalendo zaidi.

Ni kweli nalipa wanahabari kufanya kazi na pia wataalam mbalimbali wa mikakati ndani na nje ya nchi. Mwanasiasa gani asiyefanya hivyo?!!

Siku zote Nape Nnauye hajui anazungumza nini, apuuzwe tu, ni kijana mdogo ambaye anatumika bila kufahamu.

Nchi inakosa mwelekeo sababu ya kukosa uongozi imara. Sishangai Jussa kusema UKAWA iko tayari kushirikiana hata na ibilisi mradi CCM ing'oke

RT@Chahali Lowassa ni janga La kitaifa.Miaka miwili tu Uwaziri Mkuu,akatutapeli na Richmond.Akipewa #Urais2015 si atauza nchi?- HUJUI UKWELI

Nape 2005 alikuwa anasema Kikwete kuwa akichukua nchi atahama nchi. Nape hajifunzi kutokana na makosa, anarudia makosa yale yale.

Wote wanajua endapo Edward atapita utakuwa mwisho wao kukosa kuwajibika kwa wananchi. Wanatumia kivuli cha uchafu kujiita wazalendo zaidi.

Nna mkosi mie, kila nikiweka uzi, unaunganishwa na mwingine, mbona nyingine hazijagi kuunganishwa na zangu? Mods, mimi nilikuwa natoa Live tweets zake muda huu anazoziachia twitter, sasa mnapounganisha na namna alivyomjibu Nape inakuwa sio sawa maana post anazoweka now zinajitegemea na amejibu wengi sio Nape tu na anaendelea kupost... Sasa hapa ntaendelea kuUpdate vipi akat Post imegeuzwa Comment. Mshaniudhi siweki tena update nalog out sasa, Usiku mwema

cc Invisible
 
Dah hatimae chama kubwa vipande vipande, tena kipindi hatarishi. ACT nayoo.... UKAWA mmefanzaje???
 
Thubutu,ndivyo unavyomdanganya ati yeye ni boss wa Lowassa? Mwambie ajaribu aone mziki wake,muulize hata kama anakumbuka huo msemo wa "kuvua Gamba".

Mkuu inamaana hawezi kuchukua maamuzi kama Lissu kwa Zitto?
 
Naona zigo la Lowassa katwishwa Nape.. Wenye chama wao kimya kama hawaoni vile... Mzee Mwinxi, Mpaka, Warioba, Salim,Mangula, Kinana mko wapi??

Mzee salim na Warioba wa nini hapa katika sarakasi zinazoendelea?Kinachofanyika ni muendelezo wa kilichokuwa kinafanyika 2005, Umesahau walivyomchafua Mzee Salim back in 2005 kisa wanataka kuingia Magogoni? Kwa hili aulizwe Mwenyekiti wa Chama nina uhakika atakuwa na majibu.
 
Back
Top Bottom