Lowassa amjibu Nape

Lowassa amjibu Nape

Ndugu SS kwani hujui JK haaminiki na ni ndumila kuwili wa hali ya juu sana?
Jambo ambalo wengi hawajagundua hapa ni kwamba,JK hamtaki Lowassa na hata ukipima kauli zake mbalimbali utagundua ukweli huu.

Tunachpaswa kutambua ni kuwa,JK hapendi kuonekana mbaya na mara nyingi hutumia walio chini yake kutekeleza yale anayoyataka.

Ndio maana hata mawaziri wake huwa hawachukulii hatua wanapobainika kufanya madudu na badala yake hungoja bunge liingilie kati kwa kutoa maazimio.

Nape hawezi ongea hayo bila kujua msimamo wa boss wake.

Nani mwenye maadili miongoni mwa vigogo wa chama cha magamba leo hii?Wote ni hovyo kuanzia EL mwenyewe na mwenyekiti wao taifa.
 
wote tumemshangaa including myself,amelipuka sana
mbona hukumshangaa lowasa na siasa zake za kiujima za kuwalipia wahuni nauli eti kuja kumuomba agombee urais , WAKATI KILA MTANZANIA ANAFAHAMU KWAMBA YEYE MWENYEWE ( TENA BILA KUOMBWA HATA NA WATU WAWILI ) anautaka urais tangu 1995 , hadi alipotimuliwa na Nyerere .
 
ben wewe na chama chako uko salama kwanini ue mkosoaji wa chama ambaco si chako Inapofikia hatua Katibu wa Itikadi na Uenezi anatoa matamko na tuhuma nzito kuwa kada Mwenzake Lowassa anavunja kanuni na taratibu za chama kwa kuaandaa makundi ya kumshangilia na kumuunga mkono ni lazima sasa naye aulizwe yeye Nape amefuata Taratibu na kanuni gani kutoa tuhuma hizo?
Huwa tuhuma hutolewa kwenye vikao.Msemaji wa chama hapaswi kutoa tuhuma kumlenga mtu bali anatakiwa kufafanua kanuni na taratibu tu.Tuhuma hutolewa na kujadiliwa kwenye vikao na sio majukwaani.
Leo Nimegundua sasa kwamba yeyote huko CCM anaweza kutuhumu wengine bila kufuata taratibu za vikao rasmi vya chama
Hivi kama Lowassa hatakiwi huko CCM si mumfukuze badala ya kumnyanyasa kila siku? Si Mwenyekiti wao alisema watu wanaoonekana wana sifa basi wahamasishwe kujitokeza?Msimamo wa Nape ni tofauti na wa Mwenyekiti wao Jakaya Kikwete?
Chama cha aina hii hakiwezi kuunda serikali yenye nidhamu hata siku moja
Nitashangaa kama Lowassa atakaa kimya juu ya udhalilishaji huu mkubwa aliofanyiwa na kijana huyu
Hivi ule ujasiri wake wa kufanya maamuzi magumu anaousema kila siku uko wapi?Kama yeye mwenyewe haki yake ndani ya chama hawezi kuitetea atawezaje kuwatetea watanzania milioni 45?
Nawatakia ujenzi mwema wa Mnara wa Babeli.Ongezeni kasi na nguvu zaidi.Chapeni kazi bila kuchoka
Aluta continua,Victory Ascerta....!
Ben Saanane
 
Bavicha mnachojua ni matusi tuu hakuna lingine na sikutegemea lingine zaidi ya matusi...october si mbali..

sasa Bavicha na Lowasa wapi na wapi??
Lowasa anawatoa kamasi hadi mmeamua kupasua chama chenu cha wezi kwa mikono yenu wenyewe.
 
Mzee Mamvi anaweweseka hizo hela anazotoa posho angezitunza watoto wake waje wamsadie kwa kumuhudumia atakapokuwa nyuma ya nondo mapema november UKAWA itakapokuwa mjengoni.

Usipotoshe Mkuu, hakuna mahali ambako UKAWA walitamka kuwa wakiingia madarakani watalipiza kisasi! Usitake kuwachonganisha UKAWA na wananchi, nayakataa mawazo yako!!
 
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,

kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,

Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.

Wajinga ni wazazi wako walio zaa jitu jinga kama wewe.
 
Huyu Nape siku Lowasa akiwa Raisi,basi Nape atajikuta hana ajira.Nape anahakikisha Lowasa asipitishwe ili walau apate ukuu wa mkoa kutoka kwa Membe,Magufuli

Atajiunga na mapacha watatu we mwache tu akorome hovyohovyo tu.
 
Lowasa ni jiwe lililowashinda waashi si mda mrefu litakuwa JIWE KUU LA PEMBENI pale Magogoni
Mwisho wa Lowasa umefika rasmi , hata hivyo ccm wamechelewa sana kumfukuza huyu jamaa , japo hiyo haiwezi kuwaokoa na moto wa UKAWA hapo octoba .
 
Tatizo Nape kwenye hili swala pamoja na kuwa msemaji wa chama hayuko natural toka zamani..ndio maana ata kama anafanya kazi yake wengine wanadhani anafanya kwa sababu binafsi!

NB:Hili swala haliwezi kuwasaidia UKAWA kwenda ikulu na wala wasijidanganye ...Rais wa nchi hii hawezi kutoka nje ya CCM..
Msaada, mwana siasa anakuaje "natural"?
 
Nafasi ya nape ni kukisemea chama, bahati mbaya badala ya kufanya hivo, anaropoka ropoka tu.
 
Nape anataka kufanya Lowassa anachotaka! Kwa maneno mengine anamsaidia Lowassa kutimiza ndoto yake.
 
Sawa kabisa,Lowassa vuta huku,Nape peleka kule mwisho kila mtu ataondoka na kipande chake,mwisho kabisa CCM pwaaa UKAWA haooo magogoni.
 
Ngoma inogile. Bado makamba atapewa vidonge na mzee wa maamuzi magumu
keshapewa tayari kaambiwa akijibiwa kwa ukurasa mzima wa gazeti ni kumpa heshima isiyostahili! sema bado kikwete anayewatumia hao kina NAPE na wengine kama vile wachangiaji wa JF walivyojificha nyuma ya key board kwa majina bandia
 
Nape badala ya kuwa msemaji wa chama, ameamua kuwa msemaji wa wagombea! Hakuna wa kumtoa lowasa ndani ya ccm kamwe!
 
Back
Top Bottom