Lowassa alitumia fedha za Kitilya kwenye kampeni 2015?

kwani hapo kuna msiba huyo sioi alitumwaa na mama lowasa aibe? mama lowasa Analia kwa sababu wamekula pesa za kitillya halafu wameshindwa kumsaidia apate dhamani nafsi yake inamsuta
Kweli wewe ni mgumu sana kuelewa! Naomba niishie hapo
 
Mkuu tuachane na porojo turudi kwenye mada ya mtoa hoja!
Je lowassa ametumia hizi fedha kwenye kampeni?hata kama mke wake kamlilia Sioi je issue ya 'mkwe' haimfanyi lowassa kupiga hizi fedha??

lowassa hawezi kumtumia mkwe wake kupiga hizi fedha?
Hii ndio hoja inayojadiliwa!
Hivi hasa unaelewa unalouliza? Juzi mara mlikuwa mnasema hela ya Richmond, leo imekuwa ya Sioi kuwa ndio zilizotumika kampeni!
Mie nasema Kitilya na Sioi kama wameiba washughulikiwe. Na kama alivyosema Zitto kuwa ukiufata mtiririko ule kesi ya msingi itakuwa na majina makubwa serikalini kuhusu mkopo wenyewe maana hapa wako kwenye comission tuu.
Ulichonitibua ni kuingiza hidia za yule mama kwenye kejeli hizi za siasa, hiyo sio sawa. Hata wewe una mama na unajua hisia zao zilivyo na haxifai kuletewa kejeli. Tuwaheshimu mkuu
 
Baada ya Mama Regina Lowasa kutokea mahakama ya kisutu leo,tuliokuwepo mahakamani tukaanza kujiuliza????

Maswali yakazidi zaidi pale mama alipoanza kutoa machozi mahakama ilipohairisha dhamana ya Kitilya Leo.

Je ni ukwe?
Ama alikula fedha zetu?
Naanza kupata jibu kwanini Mzee Mbowe anatetea Majipu.

Acha uongo haukua mahakaman umeona kwenye taarifa ya habari, na hakulia lakini alikua mnyonge.
 
Hizi hela zilitumika sana wakati Lowassa yuko CCM. Ingawa ziemnufaisha hata CHADEMA katika kampeni zao. Tulishaandika humu jinsi Lowassa alivyohusika.

Ila kiliconisikitisha mpaka mwisho ni mkwe wake kuwepo humo.
 
Wewe umekuja maharage ya wapi.mbona unakurupuka na kutunga hadithi...kwani Kitilya ndio mshtakiwa pekee hapo???
 
Hivi hasa unaelewa unalouliza? Juzi mara mlikuwa mnasema hela ya Richmond, leo imekuwa ya Sioi kuwa ndio zilizotumika kampeni!
Mie nasema Kitilya na Sioi kama wameiba washughulikiwe. Na kama alivyosema Zitto kuwa ukiufata mtiririko ule kesi ya msingi itakuwa na majina makubwa serikalini kuhusu mkopo wenyewe maana hapa wako kwenye comission tuu.
Ulichonitibua ni kuingiza hidia za yule mama kwenye kejeli hizi za siasa, hiyo sio sawa. Hata wewe una mama na unajua hisia zao zilivyo na haxifai kuletewa kejeli. Tuwaheshimu mkuu
Kweli umechakazwa,leo umejishikiza kwa Zitto?
 
Kweli umechakazwa,leo umejishikiza kwa Zitto?
Kumbe wewe huandiki kwa facts Bali kama mambo ya simba na yanga?
Kwamba unaongozwa akili yako kwa chuki au huba tuu? Basi mimi siko huko hata kidogo. Hata Kinana akifanya la maana nampa sifa yake na hata kumuiga, bahati mbaya hajawahi
 
Hivi hasa unaelewa unalouliza? Juzi mara mlikuwa mnasema hela ya Richmond, leo imekuwa ya Sioi kuwa ndio zilizotumika kampeni!
Mie nasema Kitilya na Sioi kama wameiba washughulikiwe. Na kama alivyosema Zitto kuwa ukiufata mtiririko ule kesi ya msingi itakuwa na majina makubwa serikalini kuhusu mkopo wenyewe maana hapa wako kwenye comission tuu.
Ulichonitibua ni kuingiza hidia za yule mama kwenye kejeli hizi za siasa, hiyo sio sawa. Hata wewe una mama na unajua hisia zao zilivyo na haxifai kuletewa kejeli. Tuwaheshimu mkuu
Maelezo yako hayaondoi pesa kupigwa kwenye Richmond na Hili...!

Kejeli kwa huyu mama ni ipi?
Hisia zako hazibabaishi mtu kujadili hoja inayohusu ufisadi...kilio hakiondoi au kumsafisha mtu kwenye ufisadi....uongozi ni dhamana na kwa namna yotote ile hautakiwi kuhusishwa na ufisadi...yaani ni kama vile yesu ajihusishe na ushetani!
 
tanzania mtu anayeiba na kupata mafanikio ya haraka haraka anaonekanaga ni shujaa sasa na wazazi wetu huwa hata hawaulizi hayo mafanikio ya mda mfupi yamekujaji sasa ya kianza haya ya makesi , mara mahakamani ndo wanaanza kula na wakwao na kuanza kulialia kwa huruma wakati wanaiba wao wanaonekana mashujaa
Well said bro
 
Bado hoja ya mleta mada inasimama...mama mtoto alikuwepo?
Kama alikuwepo mbona hajalia?
Je Sioi kuoa mtoto wa lowasa kunapunguza au kuongeza uwezekano wa hili analosema mleta mada kutokea?

Great thinker huwa hakurupuki kama ulivyofanya!

7e063a480f7c798121212d72282e8c02.jpg
 
Akili za ajabu hizi, yaani serikali ikope hela halafu iwape ukawa wafanyie kampeni za uchaguzi mkuu???
 
Bado hoja ya mleta mada inasimama...mama mtoto alikuwepo?
Kama alikuwepo mbona hajalia?
Je Sioi kuoa mtoto wa lowasa kunapunguza au kuongeza uwezekano wa hili analosema mleta mada kutokea?

Great thinker huwa hakurupuki kama ulivyofanya!

great thinker huwa anafurahia pale anapoona ccm haijakosolewa!!!
 
Awamu hii tutasikia mengi.Nakumbuka alivyoingia madarakani JK tulikuwa tukisikia mengi mara baadaye nguvu na kasi zikapungua mpaka tukafika hapo tulipofikishwa.tuvute subira muda utatuongoza kupata halihalisi ya Awamu hii.
 
Back
Top Bottom