Lowassa alitumia fedha za Kitilya kwenye kampeni 2015?

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Baada ya Mama Regina Lowasa kutokea mahakama ya kisutu leo,tuliokuwepo mahakamani tukaanza kujiuliza????

Maswali yakazidi zaidi pale mama alipoanza kutoa machozi mahakama ilipohairisha dhamana ya Kitilya Leo.

Je ni ukwe?
Ama alikula fedha zetu?
Naanza kupata jibu kwanini Mzee Mbowe anatetea Majipu.
 
Bado hoja ya mleta mada inasimama...mama mtoto alikuwepo?
Kama alikuwepo mbona hajalia?
Je Sioi kuoa mtoto wa lowasa kunapunguza au kuongeza uwezekano wa hili analosema mleta mada kutokea?

Great thinker huwa hakurupuki kama ulivyofanya!
Mbona wewe umekurupuka?
 
. Mwinginee huyoooo
 
Baada ya Mama Regina Lowasa kutokea mahakama ya kisutu leo,tuliokuwepo mahakamani tukaanza kujiuliza????

Maswali yakazidi zaidi pale mama alipoanza kutoa machozi mahakama ilipohairisha dhamana ya Kitilya Leo.

Je ni ukwe?
Ama alikula fedha zetu?
Naanza kupata jibu kwanini Mzee Mbowe anatetea Majipu.
Kaka jaribu kwanza kujiridhisha na habari au taharifa yoyote unayoiona au kuipata kabla ya kuja na conclusions ambazo zinakuvua nguo
 
Bado hoja ya mleta mada inasimama...mama mtoto alikuwepo?
Kama alikuwepo mbona hajalia?
Je Sioi kuoa mtoto wa lowasa kunapunguza au kuongeza uwezekano wa hili analosema mleta mada kutokea?

Great thinker huwa hakurupuki kama ulivyofanya!
Kushiriki mijadala na wewe au watu wa aina yako sasa tutakuwa wapuuzi. Ni bora kuwashawishi watu wenye akili zao wakuweke kwenye ignore list.
Mama kama yule kalia kama mzazi na ni mambo ya kifamilia hivyo kuyaleta kwenye jukwaa la mijadala ya maana kwa njia ya dhihaka ni kutushushia hadhi wote.
Acha hizo bwana mdogo!
 
Baada ya Mama Regina Lowasa kutokea mahakama ya kisutu leo,tuliokuwepo mahakamani tukaanza kujiuliza????

Maswali yakazidi zaidi pale mama alipoanza kutoa machozi mahakama ilipohairisha dhamana ya Kitilya Leo.

Je ni ukwe?
Ama alikula fedha zetu?
Naanza kupata jibu kwanini Mzee Mbowe anatetea Majipu.
Lowasa alitumia za Kitlya na CCM ilitumia za nani?
 
Kushiriki mijadala na wewe au watu wa aina yako sasa tutakuwa wapuuzi. Ni bora kuwashawishi watu wenye akili zao wakuweke kwenye ignore list.
Mama kama yule kalia kama mzazi na ni mambo ya kifamilia hivyo kuyaleta kwenye jukwaa la mijadala ya maana kwa njia ya dhihaka ni kutushushia hadhi wote.
Acha hizo bwana mdogo!
Hebu acha hadaa mkuu..!
Pale mahakamani kulikuwa na wamama wazazi wangapi?kwa nini aliyelia ni yeye tu?mambo haya ya kifamilia yameigusa maslahi ya jamii pana ya watanzania...hakuna dhihaka hapa...kinachowashinda kutoa other side ya story inawashinda nini?

Sikulazimishi kuchangia posts zangu kwani si-post kwa kuangalia ni kina nani atachangia au hatochangia...hata mimi naweza kukuweka kwenye ignore list pia!
 
Litabakia kuwa kweli hili hadi Mbowe ataje majipu anayosema yametubuliwa kwakuwa waliisaidia chadema.
 
Sioi Sumari ni mkwe wa Lowassa na Mkewe. Kwa mantiki hii huwezi kuchekelea kama sehemu ya mwanao inapata shida kama kweli una upendo thabiti. Ulitaka acheke huyo mama Lowassa?
 
Tatzo kila mtu humu anajifanya kujua kuliko mwingine. Tuachane hayo mawazo mgando kwa mnaojifanya mnajua zaidi.
Kama kuna mjadala ama hoja tunajadili sote ili kuleta hoja ambazo zina tija kwa taifa letu sote. Ukiona huna hoja it is better to speak nothing.
 
Baada ya Mama Regina Lowasa kutokea mahakama ya kisutu leo,tuliokuwepo mahakamani tukaanza kujiuliza????

Maswali yakazidi zaidi pale mama alipoanza kutoa machozi mahakama ilipohairisha dhamana ya Kitilya Leo.

Je ni ukwe?
Ama alikula fedha zetu?
Naanza kupata jibu kwanini Mzee Mbowe anatetea Majipu.
Mbowe ni jipu, anjua ukweli wote wa mapesa hayo.
 
Waligawiwa ngapi na kivipi? Leta ubuyu mkuu inaonekana ulikuwepo wakigawiwa kwa jinsi ulivyoandika.
Yes Mkuu Mbowe alisema wapo watu wanatumbuliwa kwakuwa waliisaidia chadema.Mwambieni Mbowe twende mahakamani
 
Back
Top Bottom