Hivi hasa unaelewa unalouliza? Juzi mara mlikuwa mnasema hela ya Richmond, leo imekuwa ya Sioi kuwa ndio zilizotumika kampeni!
Mie nasema Kitilya na Sioi kama wameiba washughulikiwe. Na kama alivyosema Zitto kuwa ukiufata mtiririko ule kesi ya msingi itakuwa na majina makubwa serikalini kuhusu mkopo wenyewe maana hapa wako kwenye comission tuu.
Ulichonitibua ni kuingiza hidia za yule mama kwenye kejeli hizi za siasa, hiyo sio sawa. Hata wewe una mama na unajua hisia zao zilivyo na haxifai kuletewa kejeli. Tuwaheshimu mkuu