Lowassa akienda Arumeru mgombea wa CCM anaibuka mshindi

kiroba

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
324
114
Wakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.
Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!
 
Mauzi matupu kama unabip hapa JF tunakupigia basi LOWASA ni jambazi wa haki za wananchi ,mwizi,mwaamini wa rushwa,fisadi na mafia aliyekubuhu,mwambie huyu kwamba leo anafanya lakini kabla hajafa ataona mapinduzi ya kifikra ya watanzania hatakuwa na pa kupenya alifanya kila aliloweza Arusha mjini kila aina ya pesa alimwagaa lakini unaushahidi mbunge wa Arusha mjini ni nani
Arusha lazima tutakufa tukikataa dhuluma
 
Umekosea spelling sio jabali ni JAMBAZI.
 
Wakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.
Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!
Hakika Lowassa ana mvuto na ushawishi mkubwa sana ktk medani ya siasa nchi hii. Akienda huko Arumeru Chadema wataishia kuokota manyoya tu wakati kuku yupo kwa Lowassa. Lowassa ni KING OF POLITICS nchini, NANI KAMA LOWASSA?
 
hamna haja ya kujadili hoja kama hizi koz hata jina lake ni lenyewe tu la kiroba linadhihilisha wazi kuwa ni kilaza mwenye ukilaza wa kutosha.
 
Ni kweli lakini mjue Lowassa ni jabali kwa Watanzania wenye akili mgando na wala hawezi kuwa jabali la kisiasa kwa watanzania wenye fikra chanya za mabadiliko. Hilo mnalolisema kwamba ni jabali ni sawa kabisa kwa wakati huu mdogo uliopo na kwa katiba hii mbovu inayoruhusu mtu mwenye tuhuma lukuki kama zake kutokeza hadharani na kuamua nini kitendeke kwenye siasa. Baba wa Taifa angekuwa hai leo hii angekuwa shahidi wa maneno yangu.
 
Wakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.
Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!

Unakaa unakosa cha kufanya unaamu kuwapamba mafisadi
 
Wakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.
Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!

Arusha mjini alikua anaamka paa moja na Batilda.
Kila stika ya CCM iliyobandikwa kwenye toyo/daladala/tax ililipiwa elfu tano,
Kila aliyepeperusha bendera ya CCM alipewa elfu kumi
Kinamama waliokata viuno barabarani walilipwa elfu kumi pamoja na kanga.
Ila baada ya matokeo kutangazwa, Lema alikamata kipaza akatukumbusha kuwa 'WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU'.
Batilda aliangukia pua mbele ya uyo unayemuhofia.
Tulianza na Mungu na Tunamaliza na Mungu
 
Mauzi matupu kama unabip hapa JF tunakupigia basi LOWASA ni jambazi wa haki za wananchi ,mwizi,mwaamini wa rushwa,fisadi na mafia aliyekubuhu,mwambie huyu kwamba leo anafanya lakini kabla hajafa ataona mapinduzi ya kifikra ya watanzania hatakuwa na pa kupenya alifanya kila aliloweza Arusha mjini kila aina ya pesa alimwagaa lakini unaushahidi mbunge wa Arusha mjini ni nani
Arusha lazima tutakufa tukikataa dhuluma

Well well said guy
 
Wakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!
Hata mimi kutokana na aina ya umaskini nilio nao kama wewe ikitokea Lowassa akanilipa kumpigia debe nitafanya kama wewe lakini hakika ni lazima nikatubu kama alivyofanya Yuda Iskariot baada ya kuchukua vipande 30 vya fedha.
 
Hakika Lowassa ana mvuto na ushawishi mkubwa sana ktk medani ya siasa nchi hii. Akienda huko Arumeru Chadema wataishia kuokota manyoya tu wakati kuku yupo kwa Lowassa. Lowassa ni KING OF POLITICS nchini, NANI KAMA LOWASSA?

fikra potofu na inaelekea wewe ni mvivu wa kufikiri na itakula kwako kama wewe ni kijana bado
 
Na tunajua nyinyi mnaomtetea Lowasa mnapata hela nyingi sana kwa sasa kwani lazima mkamwambambie kwamba watu hawamkubali hivyo kazi ya kumsafisha inakuwa ngumu. Huu ni wakati wenu wa kujenga jamani lakini mjue mnawaongezea miaka mingi watanzania ya kuteseka.
 
Hizi ni akili za mtu aliyeko kuzimu!
 
Back
Top Bottom