Lowassa akienda Arumeru mgombea wa CCM anaibuka mshindi

Mama yako maku we...
Huna hoja wewe. Nenda fb ndio saizi yako huko hapa tuachie wenye hoja. Kila mara watukana tu ndio nini sasa. Kama huna cha kusema si ni bora kukaa kimya?
 
Hakika Lowassa ana mvuto na ushawishi mkubwa sana ktk medani ya siasa nchi hii. Akienda huko Arumeru Chadema wataishia kuokota manyoya tu wakati kuku yupo kwa Lowassa. Lowassa ni KING OF POLITICS nchini, NANI KAMA LOWASSA?

Sawa ni Jabari, na sawa akienda Arumeru CCM Watashinda.
wewe binafsi unalifikiaje hili, kama una akili timamu, na ni mtu unayekula kwa Jasho lako, kama sio omba omba tajiri,
kama sio kidokozi huko unakofanya kazi ama kama haukwepi kulipa kodi na kama sio kula kulala, na kama haujakata tamaa na maisha unaichukuliaje hali kama hiyo?

Nyie ndio mnaoshinda BAR na kununuliwa bia na wanaume wenzenu kisha mkiishalewa mnaanza kupiga kelele za kuitetea CCM.

Hata kama nalazimika kukusikitikia sababu, tatizo linalokusumbua kwa vyovyote vile ni zao la mfumo mbovu wa elimu nchini kwa nini Japo usikae kimya basi sisi walipa kodi tukaongea.
 
Arusha mjini alikua anaamka paa moja na Batilda.
Kila stika ya CCM iliyobandikwa kwenye toyo/daladala/tax ililipiwa elfu tano,
Kila aliyepeperusha bendera ya CCM alipewa elfu kumi
Kinamama waliokata viuno barabarani walilipwa elfu kumi pamoja na kanga.
Ila baada ya matokeo kutangazwa, Lema alikamata kipaza akatukumbusha kuwa 'WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU'.
Batilda aliangukia pua mbele ya uyo unayemuhofia.
Tulianza na Mungu na Tunamaliza na Mungu

Heshima kwako Kamanda
 
Sawa ni Jabari, na sawa akienda Arumeru CCM Watashinda.
wewe binafsi unalifikiaje hili, kama una akili timamu, na ni mtu unayekula kwa Jasho lako, kama sio omba omba tajiri,
kama sio kidokozi huko unakofanya kazi ama kama haukwepi kulipa kodi na kama sio kula kulala, na kama haujakata tamaa na maisha unaichukuliaje hali kama hiyo?

Nyie ndio mnaoshinda BAR na kununuliwa bia na wanaume wenzenu kisha mkiishalewa mnaanza kupiga kelele za kuitetea CCM.

Hata kama nalazimika kukusikitikia sababu, tatizo linalokusumbua kwa vyovyote vile ni zao la mfumo mbovu wa elimu nchini kwa nini Japo usikae kimya basi sisi walipa kodi tukaongea.
Nina hakika wewe si mlipa kodi na kama kweli huwa unalipa kodi basi sina hakika kama unalipia TRA au unahonga rafiki zako. Halafu hili la kukaa bar kwa mtu kama wewe lazima uliseme kwa kuwa ndio tabia yako, pole sana. Halafu acha ubinafsi hii ni nchi yetu sote sio ya kikundi fulani tu.
Kama huana hoja ni bora ukae kimya kuliko kupost huo *****. A great thinker hawezi akawa na element kama wewe. Shame of you bro!
 
Sawa ni Jabari, na sawa akienda Arumeru CCM Watashinda.
wewe binafsi unalifikiaje hili, kama una akili timamu, na ni mtu unayekula kwa Jasho lako, kama sio omba omba tajiri,
kama sio kidokozi huko unakofanya kazi ama kama haukwepi kulipa kodi na kama sio kula kulala, na kama haujakata tamaa na maisha unaichukuliaje hali kama hiyo?

Nyie ndio mnaoshinda BAR na kununuliwa bia na wanaume wenzenu kisha mkiishalewa mnaanza kupiga kelele za kuitetea CCM.

Hata kama nalazimika kukusikitikia sababu, tatizo linalokusumbua kwa vyovyote vile ni zao la mfumo mbovu wa elimu nchini kwa nini Japo usikae kimya basi sisi walipa kodi tukaongea.
Kweli wewe ni graduate la kata.:flock:
 
Magamba mna kazi ya kumsafisha gamba mwenzenu e l,hakika uchafu siku zote huitwa ni uchafu ukiona mtu anaita uchafu ni usafi basi haraka mtu huyo yafaa apelekwe india kutibiwa.lowassa ni mchafu hasafishiki hata kwa jiki,lowasa na kundi lake ni wauaji wakubwa ktk nchi hii,tazama walichomfanya mwakyembe! Hakika hata shetani siku ya mwisho ata mkataa
 
Una ushahidi mkuu au na wewe ni wale wale chuki kwanza. Hebu jaribu kuthibitisha hii kauli yako. Unajua hapa wengi mnafuata tu mkumbo eti ukisikia fulani anasema na wewe unsema itakuwa kweli. Hebu mwaga hapa jamvini uvhafu wa EL na vielelezo vyake. Acheni fitina na chuki zisizo na msingi.
 
Umekosea spelling sio jabali ni JAMBAZI.

lowasa mwinzi mkubwa tuna mtaka arumeru atueleze hela ya rich mondi iko wapi?naye2 ni kabila gani?maana alikata umeru leo afuate ni2?lowasa atawapata waganga njaa tuu.asubiri nepi anamchemshia dawa yake atainywa tu.asifikiri atadanganya kila mtu kama alivyo mteka mzee wa kihere2 ole sendeka (dada mwajuma)wameru co masai wakiona nyama tu wanauza utuu wao.
 
Hata mimi kutokana na aina ya umaskini nilio nao kama wewe ikitokea Lowassa akanilipa kumpigia debe nitafanya kama wewe lakini hakika ni lazima nikatubu kama alivyofanya Yuda Iskariot baada ya kuchukua vipande 30 vya fedha.

Aliyetubu ni Petro, Yuda hakutubu alikata tamaa akajinyonga kama CCM walivyokata taama kuleta maendeleo. Wanafanya mashindano ya poraji rasilimali za nchi.

Arusha Mjini Lema alipambana na Lowasa kwenye uchaguzi mkuu 2010 na Lema alishinda.Itakuwa la ajabu lipi na jipya lipi kwa Sioi kushindwa kwenye sanduku la kura hata akitetewa na MKWE WAKE Lowasa Arumeru?
 
Lowasa anatakiwa awe mwangalifu saaana. Kama anataka kugombania urais 2015, asiende Arumeru. Mwenzake Mkapa kaijipelka kichwa kichwa, akaibua kashfa mpya. Sasa EL akumbuke kuwa watu hawajasahau ya Richmond.
 
wakuu wana wa jf, kama mh el anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa ccm. Hakuna asiyemjua el kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa ccm.
Mungu ibariki arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!

very poor analysis!!!
 
very poor analysis!!!
Thanx brother! I know you hate the guy! Please just be realistic! Unaweza ukatoa yako ambayo ni bora kuliko hii yangu? Nitashukuru sana kwa kuwa mimi huwa napenda kujifunza mambo na wala huwa simtukani mtu!
 
Magamba mna kazi ya kumsafisha gamba mwenzenu e l,hakika uchafu siku zote huitwa ni uchafu ukiona mtu anaita uchafu ni usafi basi haraka mtu huyo yafaa apelekwe india kutibiwa.lowassa ni mchafu hasafishiki hata kwa jiki,lowasa na kundi lake ni wauaji wakubwa ktk nchi hii,tazama walichomfanya mwakyembe! Hakika hata shetani siku ya mwisho ata mkataa
Alimfanyaje Mwakyembe? Suppose it is the other way round? Kwamba Mungu anamtesa Mwakyembe kutokana na alivyomsingizia EL?
 
Mwanasiasa anayezungumzwa kupita wote ndani la jamvi hili (yawe kwa mazuri au kwa mabaya) ndiye atakayekuwa rais wa TZ mwaka 2015. Wote tunamjua!
 
Back
Top Bottom