Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,373
Ukweli mchungu ee sasa utaumeza hivyo hivyo!
Siyo mchungu ni msufuria
Ukweli mchungu ee sasa utaumeza hivyo hivyo!
Wakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.
Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!
Nyumba ndogo yake alishindwa kumsaidia kwa mkwe atathubutu....Kama lowasa akienda Arumeru chadema tumpeleke Nape ....hahahahah au Samweli Sitta, Mwakyembe....Mauzi matupu kama unabip hapa JF tunakupigia basi LOWASA ni jambazi wa haki za wananchi ,mwizi,mwaamini wa rushwa,fisadi na mafia aliyekubuhu,mwambie huyu kwamba leo anafanya lakini kabla hajafa ataona mapinduzi ya kifikra ya watanzania hatakuwa na pa kupenya alifanya kila aliloweza Arusha mjini kila aina ya pesa alimwagaa lakini unaushahidi mbunge wa Arusha mjini ni nani
Arusha lazima tutakufa tukikataa dhuluma
Wakuu mbona tunapenda sana kuhukumu? Kweli twasema EL ni fisadi, je tunaweza kuthibitisha ufisadi alioufanya. Unajua akina mwakyembe na sitta wale walikuwa na chuki binafsi kwa huyu mzee. EL sio fisadi ila kama kuna mtu ana ushahidi atuwekee hapa jamvini.Watanzania walio wengi wamechoka kuibiwa, kuwa watumwa ndani ya nchi yao, kunyonywa, kunyanyaswa na kuishi maisha ya kimasikini huku watu wachache kama Lowasa na kundi lake likijineemesha.
Lowasa pamoja na kuwa na utajiri wa kutisha, bado hataweza kununua haki na machungu ya watanzania na wana Arumeru mashariki. Watanzania wameanza kupigania uhuru wao wa kujikomboa toka kwa mkoloni mweusi.
Yale yaliyompata Mkapa huko Arumeru Mashariki ni lazima yatampata Lowasa tena yatakuwa mara kumi zaidi. Watanzania wengi bado wana machungu kwa yale yaliyofanywa na Lowasa, hivyo sidhani kama Lowasa atajiingiza huko.
Ni bora mara mia CCM kuwatumia mzee Ally Hassan Mwinyi, Dr Shein na Magufuri.
Wakuu mbona tunapenda sana kuhukumu? Kweli twasema EL ni fisadi, je tunaweza kuthibitisha ufisadi alioufanya. Unajua akina mwakyembe na sitta wale walikuwa na chuki binafsi kwa huyu mzee. EL sio fisadi ila kama kuna mtu ana ushahidi atuwekee hapa jamvini.
Mkuu mimi nafuatilia sana hiyo unayoita siasa za bongo. Nimeisoma vizuri sana ripoti ya mwakyembe tena kwa paragraph na wala sijaona sehemu inayopoint kuwa EL ni fisadi ila kuana sehemu zinasema amefanya uzembe. Je wewe ripoti yako inasema EL ni fisadi? Acha kukubali kupandikizwa chuki mkuu, hao kina sitta na mwakyembe wana chuki zao na kama unataka nitakuelezea ni kwa nini wanamchukia. Na kuwa na pesa na utajiri mwingi sio ufisadi mkuu. Inategemeana utajiri huo umeupataje. Acha kukariri kuwa tajiri yeyote ni fisadi. Utajiri wa mtu mmoja mmoja pia ni maendeleo kwa taifa. Njoo na hoja nyingine kwa hii umechemsha mkuu.Kama ni mtu unayefuatilia vyema masuala ya siasa ya nchi yetu usingeweza kuandika kitu cha kitoto kama hiki. Je uliisoma report ya tume ya Mwakyembe na kuielewa vizuri?. Kwanini Lowasa alikubali kujiuzulu ilihali anapenda madaraka?. Unafikiri msamiati wa pacha tatu ndani ya CCM una maana gani na unamlenga nani?. Utajiri wake wa kutisha ameupata vipi na wapi?. Uchafu wa Lowasa unafahamika ndani na nje ya nchi. Ngoja aende Arumeru Mashariki kwenye kampeni akaropoke kama alivyofanya Mkapa ndipo utakapojua madudu ya Lowasa kwani watanzania watamvua nguo zote.
mpe mkeoHakika Lowassa ana mvuto na ushawishi mkubwa sana ktk medani ya siasa nchi hii. Akienda huko Arumeru Chadema wataishia kuokota manyoya tu wakati kuku yupo kwa Lowassa. Lowassa ni KING OF POLITICS nchini, NANI KAMA LOWASSA?
Lowassa aliwajibika kutokana na makosa ya watendaji waliokuwa chini yake. Isome upya na uielewe report ya Mwakyembe ilivyoainisha makosa ya waziri mkuu. Lowassa aliwajibika [ political responsibility ].Kama ni mtu unayefuatilia vyema masuala ya siasa ya nchi yetu usingeweza kuandika kitu cha kitoto kama hiki. Je uliisoma report ya tume ya Mwakyembe na kuielewa vizuri?. Kwanini Lowasa alikubali kujiuzulu ilihali anapenda madaraka?. Unafikiri msamiati wa pacha tatu ndani ya CCM una maana gani na unamlenga nani?. Utajiri wake wa kutisha ameupata vipi na wapi?. Uchafu wa Lowasa unafahamika ndani na nje ya nchi. Ngoja aende Arumeru Mashariki kwenye kampeni akaropoke kama alivyofanya Mkapa ndipo utakapojua madudu ya Lowasa kwani watanzania watamvua nguo zote.
Na wewe pia ni great thinker? Kweli taifa liko harijojo sasa wewe tunayetegemea utoe hoja zenye mashiko ati waishia kutusi! Jaribu kuwa mstaarabu kwani si hoja zote zaweza kukufurahisha wewe pekee kuna zingine zitakwenda against. Komaa kimawazo ndugu usikurupuke na matusi.mpe mkeo
Wa kwako ameshaliwa?mpe mkeo
umetumwa uje umfagilie hapa? hana ujabali wowote ule, angekuwa nao angezuia asishughulikiwe kashfa ya richmond, huyu ameshindwa ujanja na mzee wa kikwere wa msoga aliyekulia magomeniWakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.
Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!
hilo nalo neno. hawezi kitu huyu kwanza anaumwa ugonjwa wa kutetemeka mimi nilimuona jana pale airportNyumba ndogo yake alishindwa kumsaidia kwa mkwe atathubutu....Kama lowasa akienda Arumeru chadema tumpeleke Nape ....hahahahah au Samweli Sitta, Mwakyembe....
el hasafishiki huyu usipoteze muda wako. kama hakufanya kosa kwa nini alijiuzuru? si angewakomoa akabaki kisha akawashughulikia?Wakuu mbona tunapenda sana kuhukumu? Kweli twasema EL ni fisadi, je tunaweza kuthibitisha ufisadi alioufanya. Unajua akina mwakyembe na sitta wale walikuwa na chuki binafsi kwa huyu mzee. EL sio fisadi ila kama kuna mtu ana ushahidi atuwekee hapa jamvini.
Mkuu ahsante kwa kutuelewesha nadhani sasa imeeleweka kuwa kwenye ripoti ya mwakyembe hakuna sehemu iliyotaja kama EL ni fisadi. Unajua huyu EL anachafuliwa sana ila kiukweli tusimuonee kiasi hicho kwani na yeye ni mwanadamu ana makosa madogo madogo ya kibinadamu. Kweli EL ni mvumilivu sana na ameonyesha ukomavu wa kisiasa.Lowassa aliwajibika kutokana na makosa ya watendaji waliokuwa chini yake. Isome upya na uielewe report ya Mwakyembe ilivyoainisha makosa ya waziri mkuu. Lowassa aliwajibika [ political responsibility ].