Lowassa akienda Arumeru mgombea wa CCM anaibuka mshindi

Lowassa aliwajibika kutokana na makosa ya watendaji waliokuwa chini yake. Isome upya na uielewe report ya Mwakyembe ilivyoainisha makosa ya waziri mkuu. Lowassa aliwajibika [ political responsibility ].
yote tisa, mwambie atueleze amepata utajiri wote huo? kama mwaka 1995 baba wa taifa alisema jamaa ana fedha nyingi kuliko umri wake leo hii na ufisadi wake wote huu atakuwa na pesa kiasi gani? kwanza hana shida na urais wenu anachokitaka ni kulinda raslimali zake tu na kuzeeka salama, hana lolote yule
 
Mkuu ahsante kwa kutuelewesha nadhani sasa imeeleweka kuwa kwenye ripoti ya mwakyembe hakuna sehemu iliyotaja kama EL ni fisadi. Unajua huyu EL anachafuliwa sana ila kiukweli tusimuonee kiasi hicho kwani na yeye ni mwanadamu ana makosa madogo madogo ya kibinadamu. Kweli EL ni mvumilivu sana na ameonyesha ukomavu wa kisiasa.
mnahaha kweli kumsafisha huyu jamaa mmeahidiwa nini?
 
el hasafishiki huyu usipoteze muda wako. kama hakufanya kosa kwa nini alijiuzuru? si angewakomoa akabaki kisha akawashughulikia?
Mkuu hapa hoja si kumsafisha bali ni kueleza ufisadi wale ni nini?
Alijiuzulu kutokana na makosa yaliofanywa na watu wa chini yake. Mbona hata rais mwinyi alisha wahi wajibika kama hivi. Kwa hiyo na rais mwinyi na yeye alijiuzulu kwa kuwa ni fisadi? Kaka acha hizo chuki kwani hazijengi bali zinabomoa tu!
 
Mkuu ahsante kwa kutuelewesha nadhani sasa imeeleweka kuwa kwenye ripoti ya mwakyembe hakuna sehemu iliyotaja kama EL ni fisadi. Unajua huyu EL anachafuliwa sana ila kiukweli tusimuonee kiasi hicho kwani na yeye ni mwanadamu ana makosa madogo madogo ya kibinadamu. Kweli EL ni mvumilivu sana na ameonyesha ukomavu wa kisiasa.
Sawa kabisa mkuu, Lowassa ni binadamu kama sisi, kama ana weakness fulani basi ni kutokana na ubinadamu wake tu na wala si vinginevyo.
 
mnahaha kweli kumsafisha huyu jamaa mmeahidiwa nini?
Hivi kusema ukweli ni kuhaha kumsafisha mtu? Mbona na wewe unahaha kumpakazia tuhuma je kuna malipo umeahidiwa? Acha chuki mkuu, njoo na hoja sio chuki na matusi. Lete hoja tukuelewe acha kukariri chuki za kupandikizwa.
 
Wakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.
Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!

EL kwa siasa za jukwaani si mzuri sana, bali ni strategist mzuri, hivyo Sitegemei jipya. Angekaa kimya na kupanga mikakati tu impact yake ingekuwa kubwa kuliko akianza siasa za kujibizana kwenye majukwaa. Naona atapita njia ile ile ya mkapa
 
yote tisa, mwambie atueleze amepata utajiri wote huo? kama mwaka 1995 baba wa taifa alisema jamaa ana fedha nyingi kuliko umri wake leo hii na ufisadi wake wote huu atakuwa na pesa kiasi gani? kwanza hana shida na urais wenu anachokitaka ni kulinda raslimali zake tu na kuzeeka salama, hana lolote yule
Wewe uvivu wako ndio uliosababisha uwe maskini wa kutupwa. Lowassa ni mchapa kazi pia ni mjasiriamali. Pia ana utajiri wa kurithi kutoka kwa baba yake Mzee Ndossy ambaye alikuwa karani na pia mfugaji kipindi cha ukoloni. Inaonekana nyie ni wavivu wa kufanya kazi ndio maana mna wivu na utajiri wa Lowassa. Fanya kazi acha kulalama.
 
Arusha mjini alikua anaamka paa moja na Batilda.
Kila stika ya CCM iliyobandikwa kwenye toyo/daladala/tax ililipiwa elfu tano,
Kila aliyepeperusha bendera ya CCM alipewa elfu kumi
Kinamama waliokata viuno barabarani walilipwa elfu kumi pamoja na kanga.
Ila baada ya matokeo kutangazwa, Lema alikamata kipaza akatukumbusha kuwa 'WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU'.
Batilda aliangukia pua mbele ya uyo unayemuhofia.
Tulianza na Mungu na Tunamaliza na Mungu

Usimuingize Mungu kwenye huo upuuzi wenu..majununi mkubwa wewe.
 
EL kwa siasa za jukwaani si mzuri sana, bali ni strategist mzuri, hivyo Sitegemei jipya. Angekaa kimya na kupanga mikakati tu impact yake ingekuwa kubwa kuliko akianza siasa za kujibizana kwenye majukwaa. Naona atapita njia ile ile ya mkapa
Lowassa ni mwanasiasa mtendaji si mtu wa porojo nyingi majukwaani.
 
EL kwa siasa za jukwaani si mzuri sana, bali ni strategist mzuri, hivyo Sitegemei jipya. Angekaa kimya na kupanga mikakati tu impact yake ingekuwa kubwa kuliko akianza siasa za kujibizana kwenye majukwaa. Naona atapita njia ile ile ya mkapa
Yes i agree with you comrade. But i dont think atapanda majukwaani akaanza siasa za majibizano. Mimi ninachokisea hapa ni uwepo wake tu hapo arumeru utakuwa na impact kubwa sana. Yaani kama atakuwepo pale hadi mwisho basi mgombea wa ccm ana aslimia kubwa sana ya kuibuka na ushindi. Tegeni masikio siku ya mwisho ya kupiga kura!
 
Wakuu wana wa JF, kama mh EL anakwenda kupiga kampeni huko kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru basi uwezekano mkubwa sana wa kushinda mgombea wa CCM. Hakuna asiyemjua EL kama ni jabali la siasa hapa bongoland. Huyu jamaa anajua mapambano ya kisiasa so atakuwa amempa support kubwa sana mgombea wa CCM.
Mungu ibariki Arumeru ili uchaguzi uishe kwa amani bila damu kumwagika. Amen!

Na Akikosa je???
 
Mama yako maku we...
Hakika Lowassa ana mvuto na ushawishi mkubwa sana ktk medani ya siasa nchi hii. Akienda huko Arumeru Chadema wataishia kuokota manyoya tu wakati kuku yupo kwa Lowassa. Lowassa ni KING OF POLITICS nchini, NANI KAMA LOWASSA?
 
Uchaguzi Arumeru ulishamalizika!? Kinachoendelea sasa ni kutimiza tuu sheria, taratibu na kanuni za uchaguzi kwa mijibu wa katiba!.
 
yote tisa, mwambie atueleze amepata utajiri wote huo? kama mwaka 1995 baba wa taifa alisema jamaa ana fedha nyingi kuliko umri wake leo hii na ufisadi wake wote huu atakuwa na pesa kiasi gani? kwanza hana shida na urais wenu anachokitaka ni kulinda raslimali zake tu na kuzeeka salama, hana lolote yule
Mwalimu ilikuwa lazima ashangae kwa kuwa kwa enzi hizo mwalimu alikuwa akifikiri hakuna mtanzania tajiri. Unajua EL ni mjanja sana kwenye utafutaji wa mali. Hapa alichokifanya ni kubadilisha aina ya ufugaji aliokuwa akifanya baba yake na kufanya ufugaji wa kisasa. Hapa aliuza ng'ombe wengi sana na kubaki na wale ambao wataweza kuwafuga bila usumbufu. Pesa alizopata akawekeza kwenye sekta mbalimbali. Sasa hapo mwalimu alipopata huo ufafanuzi alimshangaa sana EL kumuona ana akili sana. Mwisho mwalimu alimuona EL ni mtu mwenye mikakati katika utafutaji. Utajiri wa EL ni wa halali mkuu hauna mashaka. Ila chuki tu za watu ndio zinzpelekea mumuone ni mtu hatari. Mimi naamini kama tunampata EL hakika taifa lazima lisonge mbele na tutafika kwenye nchi ya ahadi yaani nchi ya asali na maziwa.
 
Lowasa kwa madhambi yake ni rahisi sana kumvunjavunja kisera hasa kwa uchaguzuzi wa arumemeru...swali ni je,ndani chadema ninani mwenye uthubutu wa kutamka lowassa ni fisadi si slaa,mbowe,wala joshua mwenyewe..na inasemekana uchaguzi wa 2010 chadema na wenyewe walipokea za lowasa kama wanavyokea wengine ndani nchi hii....ubaya wa lowassa ni kwamba sekta zote mhim zimekula hela yake.!!
 
Back
Top Bottom