Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Siyaamini magezeti ya kibongo
Bora jf napata ukweli kuliko magezeti yetu yapo kibiashara sana
mmh
lile la lowassa kwenda ccm uliamini kirahisi?
la slaa kuondoka??
Siyaamini magezeti ya kibongo
Bora jf napata ukweli kuliko magezeti yetu yapo kibiashara sana
Wote hao wamekula matapishi yao kwa sababu ya vipande vya fedha.....
Katibu mkuu wa ushawishi na udaku tawi la JFHuko CCM / Lumumba uko na cheo gan ??
Ndoto yako inatufundisha nini?Ni ushauri tu kwa Lowassa. Ahamie UDP then akiimarishe na wakati huo huo akikiimarisha chadema gizani. Mwaka 2019 UDP na Chadema viungane. Lakini pia maDC waliotemwa ni mtaji mzuri maana wana hasira iwakayo Moto na serikali ya "Kagame" hivyo 2020 wanaweza kabisa kumng'oa JPM kirahisi.
Katibu mkuu wa ushawishi na udaku tawi la JF
Mkuu, swali lako ni la kimantiki ama?Medeye kaenda Chama Gani vile??
Hahahahahaaaaa! Hizi hasira zitawaisha tu. CCM itaendelea kutawala mileleEnyi Chama Cha Majipu (CCM) kinachotokana na Umoja wa V.i.l.a.z.a. wa Chama Cha Majipu (UVCCM) tunasema hivi, huu Mchezo wa kujitekenya na kucheka wenyewe hatuutaki.
Wakuu wa Wilaya Waliotemwa na Magufuli, Wabunge wa sasa kumfuata.
View attachment 363110