Lowassa ajipanga kuihama CHADEMA

Awe mjanja maana tuliambiwa hvyo hvyo kuwa atahama na wabunge, mawaziri, wenyiviti CCM mikoa nk. Alafu akahama na wachache mno. Vngnevyo hao wakuu wa wilaya watangulie kuhama kwanza alaf awafuate.
 
Ni ushauri tu kwa Lowassa. Ahamie UDP then akiimarishe na wakati huo huo akikiimarisha chadema gizani. Mwaka 2019 UDP na Chadema viungane. Lakini pia maDC waliotemwa ni mtaji mzuri maana wana hasira iwakayo Moto na serikali ya "Kagame" hivyo 2020 wanaweza kabisa kumng'oa JPM kirahisi.
Ndoto yako inatufundisha nini?
 
Enyi Chama Cha Majipu (CCM) kinachotokana na Umoja wa V.i.l.a.z.a. wa Chama Cha Majipu (UVCCM) tunasema hivi, huu Mchezo wa kujitekenya na kucheka wenyewe hatuutaki.
 
Halafu ata hao CCM wengine awasikiki nimemuona Luhavi tu mara moja akifanya ziara ya ukaguzi tena bila ya television crew.

Waliobaki wote ni UVCCM, matamko ya barua kutoka kwa Sendeka na matamko ya wizara kusapoti hoja za serikari.

Hila hakuna camera tena na kuita waandishi wa habari Lumumba kutetea asilimia kubwa ya matendo controversy ya serikari. Walifanya mwanzo tu wakati wa ziara za kustukiza kuunga mkono wakidai ni sehemu ya ilani yao lakini kwa sasa kama wako likizo.

Lowassa ni mtu wa hesabu yeye mwenyewe na wengi wetu tulijua ameisha, jinsi uongozi huu unavyotumia nguvu kuuzi wananchi kila siku zinavyozidi lazima Lowassa aone mwanga tena labda 2020 inawezekana simuoni akiama CDM ndio kwanza atakuwa anapanga strategy za baadae.
 
Enyi Chama Cha Majipu (CCM) kinachotokana na Umoja wa V.i.l.a.z.a. wa Chama Cha Majipu (UVCCM) tunasema hivi, huu Mchezo wa kujitekenya na kucheka wenyewe hatuutaki.
Hahahahahaaaaa! Hizi hasira zitawaisha tu. CCM itaendelea kutawala milele
 
Hiyo ndo Demokrasia,mtu unaweza fanya chochote bila kuvunja sheria za nchi na pia kama kweli kaamua kuhama ni kuheshimu maamuzi yake lkn cjui magazeti wameandika kutafuta kiki tusubiri kurugenzi ya mawasiliano ya chadema wanasemaje.
 
Kama aliweza kuihama ccm iliyomlea atashindwaje chadema iliompokea;;

Ole medeye alienda kumuandalia mazingira
 
Wakuu wa Wilaya Waliotemwa na Magufuli, Wabunge wa sasa kumfuata.
View attachment 363110


Wengine si kwamba hawataki kusikia, hawajui mambo yalivyo, hawajui siasa za bongo wengi wanaongea ni spika tu amplifier zipo zimejificha. Zitto ali enjoy sana kuwa spika ya JK, alifurahia sana fursa zilizotokana na uswahiba wake na Mkurugenzi. Zitto alikuwa mwakilishi maalum wa Tanzania Ujerumani nafasi aliyopewa na JK. Leo JPM kakata mizizi,kamchomolea nje ZZK, ZZK ameanza kuona dalili ya kufilisika, ameanza kuona dalili kuwa inawezekana akalazimika kuzirejea posho alizokataa kuzichukua.Ukiyajua haya ni rahisi kuunganisha na kama unaupata ukweli toka kwa Lizaboni unatambua tu kundi la Wtumbo wapo kazini. Kama alivyokwa kwa Mt Msigwa ambaye nae urafiki wake na Lembeli na Nyalandu ulimnufaisha sasa hivi kwishnei
 
13606677_1134568779940912_8609035209217254951_n.jpg


MAONI YANGU

LOWASSA ANATAKA SIASA ZA KISTAARABU, CHADAEMA HAWATAKI SIASA ZA KIUSTAARABU, KWA WANAOONA MBALI LAZIMA LOWASSA ATIMUE, SEHEMU SAHIHI KWAKWE KWA WAKATI HUU NA IKIWA ANATAKA KUENDELEZA NDOTO ZAKE PAMOJA NA SIASA ZA KIUSTAARABU NI UDP TU NDIO MAANA KESHAANZA KUTANGULIZA WATU WAKE ILI KUKAGUA MAZINGIRA
 
Back
Top Bottom