TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Wakuu wa Wilaya Waliotemwa na Magufuli, Wabunge wa sasa kumfuata.
Hahaaaa senior bado hakijaelewekaAnahamia wapi ??
We huon chanzo hapo juu?Unaota mchana wote huu
Amina mwache aje tutampokeaccm pamejaaa hatumtaki
ccm hatuna kumbukumbu zake.Huyu mwamba wa Kaskazini nakumbuka ndo alipunguza ruzuku ya Magamba na kuwaongezea CHADEMA waliopata 40%, huku Magamba yenyewe yakiwa na 58% ambayo imeweka rekodi mbaya kwa chama hicho toka pale Tanzania ilipopata uhuru. Kamwe Magamba hawatamsahau huyu jamaa.
Akawasalimie aendakoHivi Lumumba huwa mnamuota lowasa? Naona hamjaamini kama alihama ccm.
Anarudi ccm na tupo tayari kumpokea mh lowasa maana atakuwa ametubuAnahamia wapi ??
Wewe ni nani ndani ya chama chetu cha majipu?ccm pamejaaa hatumtaki
Huko CCM / Lumumba uko na cheo gan ??Anarudi ccm na tupo tayari kumpokea mh lowasa maana atakuwa ametubu