Lowassa ajipanga kuihama CHADEMA

Lowassa ajipanga kuihama CHADEMA

Hapa kazi tu, tunajua mnaumia sana kuona jpm anang'ara kila pande mnatamani apate kashfa ili mpate pakusemea, imekula kwenu ukawa kama mlishindwa mwaka jana hamtaweza tena hadi kizazi chetu kitaisha ccm ndiyo baba lenu.
 
Ni haki yake ya kikatiba.
Kabisa kabisa, nashangaa Man.y.umbu yanapagawa wakati leo akitangaza kuhama wata-rewind ule mkanda wa UFISADI wake kwenye mikutano ya kisiasa.
 
Hapa kazi tu, tunajua mnaumia sana kuona jpm anang'ara kila pande mnatamani apate kashfa ili mpate pakusemea, imekula kwenu ukawa kama mlishindwa mwaka jana hamtaweza tena hadi kizazi chetu kitaisha ccm ndiyo baba lenu.
UKAWA wa ajabu sana, wanang'aka kuona habari hizi wakati akihama kweli wataanza kunogesha Ufisadi wake zaidi.
 
Gazeti hata halijulikani naona ndo njia yao ya kujitangaza
 
Hapa kazi tu, tunajua mnaumia sana kuona jpm anang'ara kila pande mnatamani apate kashfa ili mpate pakusemea, imekula kwenu ukawa kama mlishindwa mwaka jana hamtaweza tena hadi kizazi chetu kitaisha ccm ndiyo baba lenu.
Kashfa apate mara ngapi 'mtukufu' wako?
 
Nimeipata mahala hii inaukweli mkubwa sana lakini watazidi kupata aibu tu.
 
b7484d3595a14a4344e1a0a630a3f9be.jpg
0396c221b7f6abff803ecbf9d10c3822.jpg
 
Back
Top Bottom