Lowassa aiteka CC na NEC...

Shida ya CCM wala siyo magamba. Walikosea sana walipoifanya hiyo ni hoja nadhani walitapatapa. Kinachotakiwa ni kuondoa kero za wananchi kupitia serikali yao. Ni kuiambia serikali itekeleze ilani yake. Magamba siyo sehemu ya ilani ya CCM na siyo iliyokuwa ikiuzwa na CCM wakati wa uchaguzi. Ni muhimu wakarejelea kwenye ilani na kuona ni kwa kiasi gani ilani imetekelezwa!
 
chuki zenu na story za kumchafua lowassa zinawaponza lowassa ni miongoni washupavu walioko Tanzania yeye alikubali kujiuzulu kwa dhana ya uwajibikaji ni viongozi wangapi wamekutwa na kashfa tena za moja kwa moja lakini bado wanang'ang'ania nyadhifa zao?

Ya Ngeleja, Jairo hamjayaona? why Lowassa? Chenge alikutwa na hela nyingi tu na akajiuzulu lakini haandamwi kama lowassa jiulizeni kwa nn?

Na siku zote mti wenye matunda ndo hupigwa mawe lakini endeleeni mwisho wa siku mtabaki na aibu ka nilivyosema awali tunarudi arusha na ushindi na mapokezi makubwa yanawangojea ndo hapo mtakapokufa na vijiba vya roho.
 
Watu walitaka anzisha ccj ili kuondokana na uchafu wa magamba, so it is not a big deal kwa watanzania.
Deal ni ufisadi na kujilimbikizia mali, huku ukiacha watanzania wakiteseka kwa magonjwa , umasikini ulikithiri na elimu duni.
CCJ si ishu inayo wasumbua wa TZ
Mkuu NATA umejibu sawia, watu walitaka kukimbia uozo wa CCM kwa hiyo hoja ya EL haina tuja, lazima uozo ufagiliwe ndani ya CCM!

Bila kuondoa uozo humo CCM wanatangaza mwisho wao, Watanzania wa leo sio wa jana!
 
Mhh. I see. EL is a great and committed man, who would lead the country where we would like to be. Leave alone scandles that cause him to step down. but sincerely speaking he is the man who will bring changes to the country. Think of the vey few months that he rulled as PM, compared to other PM. u can get the real picture about how strong the man is. I know; every one has right to speak but the truth shall stay.

Others are driven to elect other party and not ccm, it is good idea but critically thinking still, within ccm we have very potential people who would take the country where we want. Other parties are against the rulling party because of the way the country is moving.

Through that we are now aware of the truth about exploitation of our natural resources/grand corruption and other bad things. Frankly speaking still these parties need more time to rebuild and become strong enough to lead the country comfortably.
 
mo2.jpg


Sisasa ni mchezo mchafu, weledi wa kupanga hoja na kuzipangua ndio kufanikiwa.

Lowasa namwona ni mtu makini pekee katika serikali ya Kikwete ambaye pekee aliyethubutu kujivua gamba binafsi kwa kujiuzuru Uwaziri Mkuu baada ya kashfa ya Rishmond.

Wangapi wana kashfa nzito lakini Kikwete anakula nao sahani moja? Naweza sema Lowasa ni shujaa kwani viongozi wabovu wamejaa serikali ya Tanzania kuanzia na Mkulu mwenyewe lakini hakuna hata mmoja anayethubutu kujiuzuru au kuwajibishwa, badala yake wamejenga dhana ya kulindana.

Saaaaaaaaaaaaaaaaaffff nakusukumia na pafu.Kwani tatizo nini?
 
Chuki zenu na story za kumchafua lowassa zinawaponza lowassa ni miongoni washupavu walioko tanzania yeye alikubali kujiuzulu kwa dhana ya uwajibikaji ni viongozi wangapi wamekutwa na kashfa tena za moja kwa moja lakini bado wanang'ang'ania nyadhifa zao? ya ngeleja, jairo hamjayaona? why lowassa?

Chenge alikutwa na hela nyingi tu na akajiuzulu lakini haandamwi kama lowassa jiulizeni kwa nn? na siku zote mti wenye matunda ndo hupigwa mawe lakini endeleeni mwisho wa siku mtabaki na aibu ka nilivyosema awali tunarudi arusha na ushindi na mapokezi makubwa yanawangojea ndo hapo mtakapokufa na vijiba vya roho
Unatangaza mwisho wa CCM yaani kifo cha CCM ni sasa, watu wanaona hawadanganyiki!CCM wakimkumbatia EL wamejiua kisiasa elewa hilo!

Mtaweka post nyingi tuu humu JF za kutetea Boss wenu lakini Watanzania wa leo si wajinga ni waelewa, nyinyi na Bossi wenu mmekwisha! Why EL, ni mwizi na mnafiki period!!!!!!!!
 
Shida ya CCM wala siyo magamba. Walikosea sana walipoifanya hiyo ni hoja nadhani walitapatapa. Kinachotakiwa ni kuondoa kero za wananchi kupitia serikali yao. Ni kuiambia serikali itekeleze ilani yake.

Magamba siyo sehemu ya ilani ya CCM na siyo iliyokuwa ikiuzwa na CCM wakati wa uchaguzi. Ni muhimu wakarejelea kwenye ilani na kuona ni kwa kiasi gani ilani imetekelezwa![/QUOTE]Wizi na unafiki wamwachie nani, watu wanalinda himaya zao?
 
Kama ni kweli EL aliwasave wakati wa RICHMOND,basi ni kweli hawawezi kumwondoa,na kwasababu ana ambition za kuwa Rais,upinzani unachekekelea tu...
 
mambo hadharani, edward ngoyai lowassa hatimaye amefanikiwa kupenyeza hoja yake ya ccj ili kukwamisha hoja ya kujivua gamba. Habari za uhakika kutoka ndani ya vikao vya cc vinavyofanyika hapa dodoma zinaeleza kuwa lowassa, akipewa nguvu na chiligati, kinana na mukama, amefanikiwa kumpa kigugumizi mwenyekiti wa ccm taifa rais jakaya kikwete kwa kuweka mezani hoja ya ccj ambayo wachambuzi wanadai kuwa itawatia tunduni akina samwel sitta na nape nnauye.

Kutokana na hilo, hoja/mada juu ya kujivua gamba huenda isijadiliwe. Hadi nakwenda laptopuni jana, ajenda moja tu juu ya uchumi wa ccm ndiyo iliyojadiliwa hapa dodoma. Cc kikiwa ni kikao cha juu kabisa cha maamuzi kimeshindwa kumgusa kabisa lowassa, chenge na wafuasi wao. wafuasi wa lowassa wameapa kumpigania mkuu wao hadi mwisho na kuhakikisha kuwa hagusiki.

nimemnukuu mtu wa karibu wa lowassa akitamba kuwa lowassa hataguswa kamwe. Si mwingine ila ni ole millya, mwenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha. Maji yanazidi unga....mimi ni vuta-nkuvute kutoka dodoma nikiripotia jamiiforums.








hebu tutoleee hapa hayo mauwongo yako na majungu.....!!!

Hovyooooo...!!! Mtumzima umekalia mauwongo na majungu tu....!!!!

Hun akazi za kufanya...???
 
Nenda mbele rudi nyuma kisha rejea kauli ya mkuu Pinda "Mafisadi wakiguswa nchi hii haiwezi kukalika" sasa nani wa kumgusa EL au AC ndani ya ccm?
 
yani member anayeitw mchonganishi ameandika kwa huzuni kama vile sio mchonganishi
 
Mhh. I see. EL is a great and committed man, who would lead the country where we would like to be. leave alone scandles that cause him to step down. but sincerely speaking he is the man who will bring changes to the country. Think of the vey few months that he rulled as PM, compared to other PM. u can get the real picture about how strong the man is. I know; every one has right to speak but the truth shall stay.
Others are driven to elect other party and not ccm, it is good idea but critically thinking still, within ccm we have very potential people who would take the country where we want. Other parties are against the rulling party because of the way the country is moving. Through that we are now aware of the truth about exploitation of our natural resources/grand corruption and other bad things. Frankly speaking still these parties need more time to rebuild and become strong enough to lead the country comfortably.
Mr MAN Mzalendofungo think of your man EL, think of billions of cash starched in different bank Accts abroad, a lot of mansions bought in specifically London with daring proof!!!!! Still this is your man dude, if we have young guys clouded with corrupt mentality like u, Tanzania have a long way to go before we sett the country free from corrupt regimes!!!!!!!! Stand up for your rights guys!!!!!!!!!

 
Hongera sana bwana Vuta Nkuvute kwa taarifa makini. Kama kungekuwa na shindano la hoja kwa leo wewe ni mshindi.
 
Back
Top Bottom