Lowassa aiteka CC na NEC...

...ni vigumu kunielewa kwa wengi mnaofahamu michango yangu,hasa hapa jamvini-JF. Nduguzangu,natamani siku moja E. Lowasa awe raisi wa nchi hii. I swear,Tzania itabadilika. Nitarudi baadaye kuwaambia kwanini E.Lowassa anafaa kuwa Raisi wa Tzania kuanzia 2015.
 
Back
Top Bottom