Lowassa aiteka CC na NEC...

jamani lowassa akiwa pm tuliona jinsi watumishi wa serekali walikuwa na hoga na yeye alikuwa akifanya kazi kwa lengo la kutaka kufanikiwa na kufika sehemu,leo hii hakuna dira wala malengo,zaidi ya mambo ya uzushu kama kujivua gamba,hii itasaidiaje watanzania maskini
laiti lowassa asingejihuzullu leo tungekuwa hadi viwanda vimefufuliwa ,hata uchumi usingeporomoka hivi maanake hasingejali kuchukua maamizi magumu kuleta magenereta potele mbali hata kama angeundiwa zengwe la richmond namba 2
 
jamani lowassa akiwa pm tuliona jinsi watumishi wa serekali walikuwa na hoga na yeye alikuwa akifanya kazi kwa lengo la kutaka kufanikiwa na kufika sehemu,leo hii hakuna dira wala malengo,zaidi ya mambo ya uzushu kama kujivua gamba,hii itasaidiaje watanzania maskini
laiti lowassa asingejihuzullu leo tungekuwa hadi viwanda vimefufuliwa ,hata uchumi usingeporomoka hivi maanake hasingejali kuchukua maamizi magumu kuleta magenereta potele mbali hata kama angeundiwa zengwe la richmond namba 2

sasa na wewe ni mnafiki kama wengine wa ccm. Kwa nini hamtaki kumweleza mwenyekiti wenu juu ya matatzo tunayoyapata na mnakuja kumsafisha lowasa hapa?? Shame on you,
vyama vya upinzani vikiandamana kupinga hali mbaya ya maisha ya watanzania wengi mnabaki kuwabeza. Tukidai katiba nzuri mnakataa sasa tutawaamini namna gani???

Kama kweli lowasa anawapenda watanzania, kwa nini hakupinga mwenendo mzima wa kupitisha katiba??
Acha bwana
 
CCM ingekuwa na UWEZO wa kumvua gamba EL ... wangekuwa tayari siku nyingi wameutumia UWEZO huo adimu ..kufanya mambo mengi ya Kijasiri na kimaendeleo kwa chama chao na jamii. Kwa kuwa hawana uwezo huo ..ni doto na ni upuuzi kusubiri CCM iliyo nyongonyea na kunyauka ..kufanya ..THE IMPOSSIBLE!! Na kumtikisa EL ... BAD FOR THIS COUNTRY!!

Kikwete anajua si msafi na huko nyuma kulikuwa na tetesi kwamba Lowassa na Rostam walikuwa tayari kuanika uchafu wote wanaoufahamu kuhusu Kikwete labda unaohusu mbinu chafu zilizotumika na kikundi chao cha mtandao ili kuhakikisha msanii anaingia Ikulu na si ajabu kuna uchafu mwingine kuhusu Kikwete ambao Rostam na Lowassa wanaufahamu, hivyo Kikwete kila akiwaza kuanikwa kwa madudu yake hadharani basi lazima anywee kama Mwenyekiti wa magamba katika kumfukuza Lowassa katika chama chao. Lowassa kama hatafukuzwa basi atakuwa na nguvu ndani ya magamba kuliko hata Kikwete sijui atazitumia vipi hizo nguvu katika kuelekea 2015, lakini kwa maoni yangu Lowassa hastahili kabisa kuwa Kiongozi wa nchi yetu.

 
Kama CCM hawamuwezi Lowasa kumuondoa, basi wamuache aendelee kula vichwa vya monduli kila uchaguzi ukifika, lakini hili la kuwa rais wa JMT halinipi usingizi kabisa! HUYU BWANA HAFAI, HANA TOFAUTI NA WENYE NJAA WANAOTUPA SHIDA KWENYE HII NCHI.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kikwete anajua si msafi na huko nyuma kulikuwa na tetesi kwamba Lowassa na Rostam walikuwa tatari kuannika uchafu wote wanaoufahamu kuhusu Kikwete labda unaohusu mbinu chafu zilizotumika na kikundi chao cha mtandao ili kuhakikisha msanii anaingia Ikulu na si ajabu kuna uchafu mwingine kuhusu Kikwete ambao Rostam na Lowassa wanaufahamu, hivyo Kikwete kila akiwaza kuanikwa kwa madudu yake hadharani basi lazima anywee kama Mwenyekiti wa magamba katika kumfukuza Lowassa katika chama chao. Lowassa kama hatafukuzwa basi atakuwa na nguvu ndani ya magamba kuliko hata Kikwete sijui atazitumia vipi hizo nguvu katika kuelekea 2015, lakini kwa maoni yangu Lowassa hastahili kabisa kuwa Kiongozi wa nchi yetu.


Na ni kama Myama aliyejeruhiwa!

Mara nyingi anakuwa na Nguvu ya Uharibifu kubwa inayozidi kabla ya kujeruhiwa kwake. Na sometimes kama unafikiri hutaweza kumdhibiti ni bora kabisa kutojaribu kumkabili. EL baada ya malumbano yote haya ambayo kiukweli ni dhaifu kwake ..Kuna uwezekano akawa imara zaidi katika uharibifu wake ... na Kuwa kama nyati aliyejeruhiwa.

Ni lazima kama Taifa hili linahitaji ... Chembe ya Mwanga wa mafanikio ya kijamii na Utaifa wa kweli.... wazingatie ukweli huu na kuja na mbinu sahihi zisizo za kubabaisha ili kuinusuru future ya Tanzania.

Na Jk atajuta kujaribu kumshambulia huku akijua kuwa yeye ni Mnyonge kwa kila hali mbele ya Watu kama EL!!
 
Si Lowassa wala CCM mwenye hoja bali kutapatapa na kuogopa kufichuana. Sioni kama kutaka kuunda chama cha upinzani ni kosa kubwa kuliko ufisadi wa Lowassa na Chenge na Kikwete. Huu ni upuuzi wa aina yake. Kwanini CCM wasiseme fika kuwa wameogopa kuwavua gamba akina Lowassa kwa kuchelea kumuumbua mwenyekiti wao na vigogo wengine majambazi waliojaa chamani? Kwanini CCM hawataki kukubali kuwa ni chama cha mafisadi tena kisicho na watu wenye kufikiri tena kwa vichwa zaidi ya matumbo? Baada ya kuondoka akina Nyerere na Kolimba nionyeshe mtu mwenye busara na akili inayochemka aliyeko madarakani kwenye CCM kwa sasa. Hata wale wenye akili ambao ni wanachama wanapotoa ushauri wanabezwa na hawa mafisadi. Kimsingi, kama watanzania wataacha woga na kuishi kwa matumaini CCM ni marehemu. Kilichobakia ni kuuzika na uchafu wake tena bila kuikafini. Hata mazishi yake hayahitaji kaburi bali shimo au kuiacha iendelee kugugunwa na mafisi walioiteka.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nani anataka kujua kama Lowassa alipotuibia kodi zetu alikiibia CCM ndicho kifaidike na huo wizi wote? Don't tell us all that nonsense. Go and tell it to the birds!!

msitake kudanganya watu hoja ya kuanzisha ccj ilikuja sita alipotishiwa kunyanyanywa kadi ya magamba,akaona waanzishe chama chao,akagundua hakitapata support kwenye uchaguzi ili awe rais,afunga mdomo akabaki ccm.

Wote hao hawana lolote,yaani mali za nchi hii zinafujwa kila kona live,sita mwenye kipindi cha uspika alichezea hela na mahawara zake walifisadi bunge vibaya.
Lowassa anabatiziwa mambo ya kumchafua kwa nia fluni ya mahisimu wake wa siasa .
 
Upuuzi, upumbavu upupu, aibu kwako kwakusema mwizi aliyetuibia, fisadi ni shuja kwakujiuzulu na wajinga kama wewe ndo tunataka kuanza na nyie kwakuwaelimisha ili mmwe mnafikira kabla ya kutenda

quote_icon.png
By Candid Scope

mo2.jpg


Sisasa ni mchezo mchafu, weledi wa kupanga hoja na kuzipangua ndio kufanikiwa.

Lowasa namwona ni mtu makini pekee katika serikali ya Kikwete ambaye pekee aliyethubutu kujivua gamba binafsi kwa kujiuzuru Uwaziri Mkuu baada ya kashfa ya Rishmond.

Wangapi wana kashfa nzito lakini Kikwete anakula nao sahani moja? Naweza sema Lowasa ni shujaa kwani viongozi wabovu wamejaa serikali ya Tanzania kuanzia na Mkulu mwenyewe lakini hakuna hata mmoja anayethubutu kujiuzuru au kuwajibishwa, badala yake wamejenga dhana ya kulindana.
Shine, Punguza jazba, changia hoja yenye kuleta mantiki ya kueleweka. Utetezi wa matusi yako haunamshiko kwa vile hujatoa dondoo za kuonyesha udhaifu wa Lowasa kulinganisha na wengine walioko serikalini. Kukosea ni kibinadamu, ila kurudia kosa ni kasoro. Mwenye dhamira njema hujirudi na kufuata njia inayotakiwa. Lowasa aliona kasoro iliyotokana na kutokuwa makini akiwa kiongozi mwandamizi serikalini, akakubali lawama na kuachia ngazi. Wangapi kama akina Ngeleja wanaolalamikiwa lakini hauna anayekubali kujiuzuru wala kuachishwa Kazi. Akina Jairo je? Jitahidi kufanya upembuzi wa kiakili zaidi badala ya kutanguliza vionjo utakuwa mchangiaji mzuri. Hakuna anayetetea uovu, lakini anayefanya kosa na kisha kujua kwamba kakosea na kisha kujirudi huyo ni mtume, vinginevyo visirani havina namufaa kwa umoja wa kitaifa.
 
1.jpg


3.jpg


Umeona Lowasa anavyosujudiwa huko Dodoma na wanamagamba wenyeke. Kelele zote zile za Nape zimeishia chumba alichopanga hotelini na hapa anamsalimia Lowasa kwa adabu na heshima. Makubwa, haya.
 
1.jpg


"Wewe ndiye uliyepewa kazi ya kunifukuza mimi ndani ya CCM?" "Hapana Mzee mimi sijapewa kazi hiyo na mtu yeyote, ni wanafiki tu wasiokipenda chama chetu ndio wanaeneza uvumi usiokuwepo."
 
1.jpg


"Wewe ndiye uliyepewa kazi ya kunifukuza mimi ndani ya CCM?" "Hapana Mzee mimi sijapewa kazi hiyo na mtu yeyote, ni wanafiki tu wasiokipenda chama chetu ndio wanaeneza uvumi usiokuwepo."

Wana JF.

Napenda niseme kwamba CCM kwishne! Hakuna chama pale kwa sasa yamebakia Magamba tu!
Kwa sisi tunaofikiri kama Great Thinkers tunapenda kuwajuvya Watanzania kuwa wasitegemee chochote kutoka CCM. Chama kimekufa,kimeoza na kinanuka ndani na nje ya nchi. Swala la KUVUANA MAGAMBA NI LONGOLONGO TU NA HAKUNA KITAKACHOFANYIKA. Kama watu wamemsikia Mwenyekiti wao Kiwete amesema hivi,nanukuu:''NDUGU WAJUMBE MSIWE NA HOFU,NIMESIKIA WENGINE HAMKULALA,HAKUNA KITAKACHOHARIBIKA CCM NI CHAMA KUBWA'' mwisho wa kunukuu.

Kwa maneno haya ya Mwenyekiti wa CCM usitegemee kama kuna kuvuana magamba hapo. HAKUNAGA KITU KAMA HICHO NDANI YA CHAMA CHA MAGAMBA!!!!!.

 
Nakubalina na wewe kuwa EL atabaki LAKINI sikubaliani na wewe kuwa kubaki kwake ni kwa sababu ulizotoa! JK hana uwezo hata akitaka kumvua gamba EL. Na Tatu Pamoja na Mungu kuwa na uwezakano mkubwa kusaidia afya ya EL ... but being honest .. The stress and all the frictions politically and socially ..am telling .... has all the ability to compromise the dudes health in a bad way!!

Rias kama Rais ana Nguvu kubwa sana Azimio,ukizingatia ni mwenyekiti wa chama,ila ninachesema ni kuwa People do not understand this,Kikwete is very smart,watu hawajui,Mwenyekiti anahekima sana,msukumo mkubwa wa watu kutaka Lowasa atoswe ni kuwa this man naonekana kikwazo katika harakati za uongozi ndani ya chama kwa miaka ijayo,sasa huu ni ukweli,kama wakitumia sababu nyingine Mungu anaujua ukweli ni kwamba wanataka kujisafishia njia maadui wake,sasa KAMA ANAKUBALIKA,WAACHE DEMOKRASIA ICHUKUE MKONDO,KAMA WATU HAWAMTAKI ATAANGUSHWA KATIKA UCHAGUZI,
 
Mimi sina tatizo na EL nina tatizo sugu na CCM wao ndo wanamfuga EL wao ndio wanawafuga Mafisadi,au labda CCM ni kampuni ya EL kwa maana ya kwamba ni yake?kama ni hivyo nitakuwa na tatizo nae,ila kama CCM ni chama chenye wanachama na viongozi wanaojinasibu kuwa ni chama safi na kina serikali sikivu,ni chama imara chenye wanachama millioni tano au sijui ngapi,kuna haja ya kumlaumu EL.UKWELI ni kwamba HAMNA CHAMA KWA CCM,sema wananchi nao bado tunaendekeza ushabiki na wengine wetu njaa,CCM sio chama cha kuwapa dola,maana hawajui wanachokifanya zaidi ya kuota uchaguzi na mtandao wa kuchukua urais.Hapo hakuna chama,maana wanamuogopa mtu mmoja na bahati mbaya chama kinaendeshwa kinafiki,EL anajua weakness za CCM,anajua hawajiamini na hawawezi kuchukua maamuzi magumu na alishawaambia mara nyingi tu.Nasema hakuna wa kumuondoa EL wala Chenge,ni cha mfilisi wa maono ya kuongoza nchi na chama chenyewe.
 
Hivi Lowasa akifukuzwa katika chama matatizo yetu yataisha na CCM sasa itakua kipenzi cha Watanzania? Hivi madudu yote yanayofanyika nchi nzima kote huko ni Lowasa na wafuasi wake?

Mkuu jaribu kuunga doti, kufukuzwa kwa lowasa ni mwanzo wa kusambaratika kwa chama lao na hilo ndiyo jambo linalotamaniwa sana na wapenda haki wa nchi hii. kumbuka Msitu ukiuendea bila nyenzo sahihi huwezi kuvuna magogo, utaishia kuokoteza vitawi vilivyonyauka. Nyenzo sahihi ya kuvuna miti na magogo ni MTI wenyewe yaani mpini ukiwekwa kwenye shoka, kazi inakuwa rahisi sana. Lowasa could make a better mpini once eliminated from chama cha magamba.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Inashangaza kuona kuwa EL ameteka hata TANZANIA DAIMA la Mbowe sijui kama tutapona, ni hatari sana
 
Jamani tumuache EL bana,inatakiwa tukomae na LIGALASHA jizi lisilofanya kazi yeyote NGE REJEA hili jitu ndio linalotakiwa kupigwa fitna za ukweli,wizara imelishinda lakini linang'ang'ania tu sijui ni jehu?argrrrr.
 
Watu walitaka anzisha ccj ili kuondokana na uchafu wa magamba, so it is not a big deal kwa watanzania.
Deal ni ufisadi na kujilimbikizia mali, huku ukiacha watanzania wakiteseka kwa magonjwa , umasikini ulikithiri na elimu duni.
CCJ si ishu inayo wasumbua wa TZ

Hakuna cha kushangaza kwani moja ya sifa kubwa ya nchi maskini ni Majungu, fitina, na hasa sababu kubwa ni ujinga uliokithiri.
 
Back
Top Bottom