Mkuu,hao jamaa siku zote wanaangalia maslahi ya chama chao cha Magamba na si WananchiWatu walitaka anzisha ccj ili kuondokana na uchafu wa magamba, so it is not a big deal kwa watanzania.
Deal ni ufisadi na kujilimbikizia mali, huku ukiacha watanzania wakiteseka kwa magonjwa , umasikini ulikithiri na elimu duni.
CCJ si ishu inayo wasumbua wa TZ
Kama ni kweli EL aliwasave wakati wa RICHMOND,basi ni kweli hawawezi kumwondoa,na kwasababu ana ambition za kuwa Rais,upinzani unachekekelea tu...
Chuki zenu na story za kumchafua lowassa zinawaponza lowassa ni miongoni washupavu walioko tanzania yeye alikubali kujiuzulu kwa dhana ya uwajibikaji ni viongozi wangapi wamekutwa na kashfa tena za moja kwa moja lakini bado wanang'ang'ania nyadhifa zao?
Ya Ngeleja, Jairo hamjayaona? why Lowassa? Chenge alikutwa na hela nyingi tu na akajiuzulu lakini haandamwi kama lowassa jiulizeni kwa nn?
Na siku zote mti wenye matunda ndo hupigwa mawe lakini endeleeni mwisho wa siku mtabaki na aibu ka nilivyosema awali tunarudi arusha na ushindi na mapokezi makubwa yanawangojea ndo hapo mtakapokufa na vijiba vya roho
Shupavu, my foot. Mwizi ni mwizi tu. Hata Billy the kid alikuwa na mashabiki wake.Chuki zenu na story za kumchafua lowassa zinawaponza lowassa ni miongoni washupavu walioko tanzania yeye alikubali kujiuzulu kwa dhana ya uwajibikaji ni viongozi wangapi wamekutwa na kashfa tena za moja kwa moja lakini bado wanang'ang'ania nyadhifa zao?
Ya Ngeleja, Jairo hamjayaona? why Lowassa? Chenge alikutwa na hela nyingi tu na akajiuzulu lakini haandamwi kama lowassa jiulizeni kwa nn?
Na siku zote mti wenye matunda ndo hupigwa mawe lakini endeleeni mwisho wa siku mtabaki na aibu ka nilivyosema awali tunarudi arusha na ushindi na mapokezi makubwa yanawangojea ndo hapo mtakapokufa na vijiba vya roho
mimi napita tu nitarudi baadae
Watu walitaka anzisha ccj ili kuondokana na uchafu wa magamba, so it is not a big deal kwa watanzania.
Deal ni ufisadi na kujilimbikizia mali, huku ukiacha watanzania wakiteseka kwa magonjwa , umasikini ulikithiri na elimu duni.
CCJ si ishu inayo wasumbua wa TZ
sioni mantiki ya hicho kikao bila kuzungumzia hoja za msingi......(GAMBA)
![]()
Sisasa ni mchezo mchafu, weledi wa kupanga hoja na kuzipangua ndio kufanikiwa.
Lowasa namwona ni mtu makini pekee katika serikali ya Kikwete ambaye pekee aliyethubutu kujivua gamba binafsi kwa kujiuzuru Uwaziri Mkuu baada ya kashfa ya Rishmond.
Wangapi wana kashfa nzito lakini Kikwete anakula nao sahani moja? Naweza sema Lowasa ni shujaa kwani viongozi wabovu wamejaa serikali ya Tanzania kuanzia na Mkulu mwenyewe lakini hakuna hata mmoja anayethubutu kujiuzuru au kuwajibishwa, badala yake wamejenga dhana ya kulindana.
Baelezee baambie habaewi batoto ba tanganyika
No wonder that you resemble your avater and name!
Baelezee baambie habaewi batoto ba tanganyika
chuki zenu na story za kumchafua lowassa zinawaponza lowassa ni miongoni washupavu walioko Tanzania yeye alikubali kujiuzulu kwa dhana ya uwajibikaji ni viongozi wangapi wamekutwa na kashfa tena za moja kwa moja lakini bado wanang'ang'ania nyadhifa zao?
Ya Ngeleja, Jairo hamjayaona? why Lowassa? Chenge alikutwa na hela nyingi tu na akajiuzulu lakini haandamwi kama lowassa jiulizeni kwa nn?
Na siku zote mti wenye matunda ndo hupigwa mawe lakini endeleeni mwisho wa siku mtabaki na aibu ka nilivyosema awali tunarudi arusha na ushindi na mapokezi makubwa yanawangojea ndo hapo mtakapokufa na vijiba vya roho.