Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
Kwa afya ipi?? Gwanda zitooo!Kwanini havai gwanda lakini!
Kwa afya ipi?? Gwanda zitooo!Kwanini havai gwanda lakini!
Kwanini havai gwanda lakini!
Rejao upo? long tymeKwa afya ipi?? Gwanda zitooo!
Kwanini havai gwanda lakini!
tulianza na mungu 2tamaliza na mungu pia ushindi kwetu ni muhimu na umoja wetu ndo nguzo ye2 lowassa ni high profile officer wa serikali so anajua mbunu zote za wizi walizozitumia ccm toka mwaka 1995 kwa mrema so 2tapata mtu ambae anaweza kufanya v2 vnne kwa pamoja ila leo ntataja k2 kmoja 2 ambacho ni muhimu pia nacho kwa kupitia u king pin wake kwa wafanyabiashara anauwezo wa kuzuia fedha zisiende kwa ccm kwa kupitia ushawish wake kwa wafanyabiashara wakubwa na ccm bila ya fedha ni dead party coz wamesha wazoesha kuwaonga wanachama wao kuanzia nguo mpaka fedha so lowassa anaweza ku2saidia kwa ilo leo matajiri yote wapo tumbo joto awajuh wa bet wapi kwan uchaguz huu yeyote anaweza kuwa mshnd so unaweza ku bet wrong side ikala kwako
Hivi hajashona gwanda tu hadi leo
Unasikitisha sana umelitaja jin la Mungu krb mara 5 sambamba na fisadi Lowasa huku ni kumkosea Mungu adabu klk pitiliza unapswa utubu kwa Mungu kwa kumkosea kiasi hicho!
Lowasa ni fisadi tna ni fisadi papa na ndiyo maana hata chama chake kilimkata kwa maana ufisadi wake ulipitiliza na walishindwa hata jinsi ya kumsafisha ili kushinda Uchaguzi wakaamua kumtema leo hii kahamia chadema unaanza kumusisha na Mungu kwa lipi?
Kwa maana nyingine mateso wanayoyapata Watz kuanzia kufa br kwa ajali, kukosa Umeme, wamama kujifungulia barabarani, watoto kushindwa kusoma kote huku huwezi kukutenganusha na fisadi Lowasa, hela alizoiba ambazo leo hii anazitumia chadema ni fedha haramu ndizo zinazokosekana mahospitalini, shuleni, ujenzi wabr n.k hivyo hayo yote ni kinyume na matakwa ya Mungu na hivyo ni dhambi kubwa kumuhusisha fisadi Lowasa na Mungu kwa vyovyote vile kwanza siajabu hata Mungu hakumuumba fisadi huyu!
Baada ya uchaguzi anasepa ndio mana hajarudisha hata kadi yetu
Siyo tu kuwa havai magwanda lakini hata zile sare za fulana na kofia za Chadema nazo 'hazigusi' mwili wake.
Inawezekana kimwili yupo Chadema lakini kiroho bado yupo Sisiemu.