Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

Mpira ni elastic,lakini una elasic limit.Kama watafanya hivyo,watakukuwa wamefikia elasic limit.Kwa ufupi ni kwamba, watakuwa wame cross red line.Na nawasihi wasifanye hivyo.It will be extremy dangerous for our country. will
kuna hatar ya mahakama kumzuia lowasa asipitithibitishe na tume, ccm wanashawishi hilo, ikitokea hivo, je Ukawa itakuaje
 
Aliiba kura nani? Msigwa kwa Iringa hakuna mpinzani kwa Chadema hata kidogo. Kama kuna aliyeibiwa kura au hakuridhika akata rufaa makao makuu au aende mahakamani.

Msigwa hana mpinzani Iringa? au kura za chuki ndio zilizo mfanya ashinde, October is coming
 
sisi tuko sireous na tunachoandika ww naona ni mshabiki tuu hujui siasa wingi wa kura ndio utaamua mshindi ni nani,kama mnasubiri bao la mkono hiyo ni never.tuko tayari watu waende the hugue.
 
Ama kweli LOWASA anajua kucheza na siasa za Tz alipokatwa CCM alikaa kimyaaaaa ili kuhamisha attention za wa Tz wakisubiri kwa hamu kusikia tamko lake mara ghafla bin vuu huyooo UKAWA sasa hivi vyombo vya habari viko busy kumzungumzia yeye tuuuuu.....!
 
Kama leo hii mnachukia.mfumo wa ccm.inakuwaje leo tena mnapokea watu waliounda huo mfumo?
Tena kirahisi tu na kuwapa nafasi muhimu,unafikiri hapo unajenga?wako raia na ndugu wana machungu baada ya ndugu zao kuuwawa na wengine ni vilema katika harakati za ukombozi leo hii wao hawana maana tena unapokea wale waliokuwa wanatoa amri mpigwe this is fu**** bull****,na nawaambia hizi kelele.ziko tu hapa mjini bado ccm.itashinda na nakuambia hizi ndio zama za CUF kupata nguvu chadema wameshakuwa hovyoo

Ongea na sisi ukiwa umevaa nguo! Magamba naona mpo frustrated!
 
Petty argument, kutetea fisadi kazi sana, ndio maana slaa kaamua kukimbia, kaona maigizo yameanza wacha ajikalie pembeni
Jipe moyo .ila jua mpaka ikifika october 24 jioni kila mtanzania atalala siku hiyo akiwa anajua richmond ni mali ya huyu bwana anaitwa mamlaka ya juu.
 
Back
Top Bottom