Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

View attachment 273359

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema/UKAWA ndugu Edward Lowassa ahutubia baraza Kuu la Chadema
Katika hotuba yake Lowassa amesisitiza kuwepo na mshikamano na maelewano ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu,huku akiwahakikishia wajumbe kuwa ushindi ni "lazima" maana mbinu na njia za "adui" zinajulikana

hapo kwenye red kuwa mkweli,waziri mkuu aliyefukuzwa kwa kufisidi nchi kupitia kampuni ya kitapeli ya RICHMOND
 
Nitakuwa wa mwisho kabisa kuubeza, kudharau mchango wa dr slaa ndani ya Chadema na taifa kwa ujumla katika safari ya mabadiliko. Kazi aliyoifanya 2010 ndiyo iliyozaa nguvu hii ya ushawishi wa mabadiliko kwa watanzania. Nasema nitakua wa mwisho kuungana na Mbowe, ati dr slaa apumzike. Nitakuwa mnafiki kufanya hivo na muongo kabisa. Naamini na nitasimama imara katika kufanya lolote kuhakikisha mabadiliko yanapatikana.lakini pia natambua nguvu ya Lowassa na umuhimu wake katika safari hii ya mabadiliko makubwa lakini pia kwa hekima kabisa ingekuwa vyema Mbowe angeeleza kwanza hoja iliyopelekea kuleta maamuzi hayo kisha tukamsikiliza dr slaa kwani nitamshangaa sana mwanachadema aliyeishangilia kauli ile bila hata kuuliza, kutafakari majibu, na kupima athari zake.
Tunayahitaji mabadiliko kwa gharama yeyote ile ila si kwa kukubali kuitenganisha nguvu tuliyonayo katika safari hii ya mabadiliko."mchango wa lowassa ni mkubwa katika safari hii ya mabadiliko lakini pia nguvu ya dr slaa ndiyo daraja kuu litakaloiunganisha nguvu ya chadema na nguvu ya Lowassa"
By Fikra mfumo.
 
Mwalimu Nyerere sikuwa muona na kijani. hivyo si ajabu kwa lowasa kutovaa gwanda
 
Hata sis tuna ushahidi wa ufisadi wa magufuli
Kwanza.kumuuzia hawara nyumba za taifa kwa bei ya kutupa
Pili ufisadi.wiAra ya ujenzi refer mkaguzi mkuu wa serikali

Sasa Magufuli ana uhusiano na fisadi Lowasa? Na hata anaingiaje hapa? Kwani mada inahusu Magufuli vs fisadi Lowasa?

Kama unataka kuongelea kuhusu Magufuli na huwo unaouita ufisadi wake tafute mahali husika kuna mada nyingi zimeanzishwa zinazoongelea kuhusu yeye lkn hapa umepotea njia!
 
lakini mbona havai gwanda wala tshirt za chadema?
 
Nitakuwa wa mwisho kabisa kuubeza, kudharau mchango wa dr slaa ndani ya Chadema na taifa kwa ujumla katika safari ya mabadiliko. Kazi aliyoifanya 2010 ndiyo iliyozaa nguvu hii ya ushawishi wa mabadiliko kwa watanzania. Nasema nitakua wa mwisho kuungana na Mbowe, ati dr slaa apumzike. Nitakuwa mnafiki kufanya hivo na muongo kabisa. Naamini na nitasimama imara katika kufanya lolote kuhakikisha mabadiliko yanapatikana.lakini pia natambua nguvu ya Lowassa na umuhimu wake katika safari hii ya mabadiliko makubwa lakini pia kwa hekima kabisa ingekuwa vyema Mbowe angeeleza kwanza hoja iliyopelekea kuleta maamuzi hayo kisha tukamsikiliza dr slaa kwani nitamshangaa sana mwanachadema aliyeishangilia kauli ile bila hata kuuliza, kutafakari majibu, na kupima athari zake.
Tunayahitaji mabadiliko kwa gharama yeyote ile ila si kwa kukubali kuitenganisha nguvu tuliyonayo katika safari hii ya mabadiliko."mchango wa lowassa ni mkubwa katika safari hii ya mabadiliko lakini pia nguvu ya dr slaa ndiyo daraja kuu litakaloiunganisha nguvu ya chadema na nguvu ya Lowassa"
By Fikra mfumo.

Nakuunga mkono kaka. Mafanikio yote haya tunayoyaona ni baada ya mchango mkubwa Dr(Phd) Slaa. Mbowe wala hakuwa na mvuto, uwezo wala dira ya CDM. Hata alipogombea uraisi alijua wazi Magamba hawatakubaki kuachia kwa vile mizizi ya upinzani ilikuwa sio kama ilivyo sasa. Hivyo aligombea uraisi kwa kengo ka kupata wabunge wengi ili wapate jukwaa. Hilo lilifanikiwa kwa kiasi, lkn kwa wske wachache wengi wakaukubali kuwa lengo la upinzani sio kupibga maendeleo au Amani bali ni kuboresha kwa mbinu mpya za kisasa na uwazi! Sikatai kumkaribisha hilo 'Gamba' vile ana nguvu ya wingi wa watu anaokuja nao, lkn kitendo cha kutomsikiliza Slaa sikubaliani hata kidogo. Nasikia, simanziiii..., kila ninspojaribu kulimeza hilo, tena Slaa kuachia jahazi kwa sababu ya mtu waluyemtumia kuimaliza watawala! Loo, naingia maombi ya mnyororo, ili moyo wa baba yetu Slaa uregee, akubali na arudi kundini iki hatimaye sokoe baadhi wa mambo. Waswahili walisema, her nusu shali kuliko shali kamili, sina ubavu wa access ya kumlilia baba yetu bali wenye nayo wamfikishie! Angalia mambo yaluvyoenda kabla na baada ya kuda Mwalimu, napmba pia huku Slaa awe ndiye watchdog, mshauri, observer etc. Simanziiiii.....!
 
Just thinking aloud! Mkakati wa kumkata Lowassa na kuishia kuingia kwenye UKAWA ulisukwa maalum kusambaratisha upinzani ambao kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania wapinzani wameubaliana kuwa kitu kimoja kukiondoa chama tawala. Hii ilikuwa ni hatari kwa watawala wakaamua kumtumia kada wao maarufu kusambaratisha upinzani. UKAWA kama mazuzu wameingia kwenye mtego kichwa kichwa na sasa wanaandaliwa kuchinjiwa baharini.
 
hapo kwenye red kuwa mkweli,waziri mkuu aliyefukuzwa kwa kufisidi nchi kupitia kampuni ya kitapeli ya RICHMOND

Jitahidi kuwa muelewa! Kina Tomy huwa mnashida sana! Mstaafu ni mstaafu 2, hatakama alijiuzuru. Kama vipi rudi darasan
 
Just thinking aloud! Mkakati wa kumkata Lowassa na kuishia kuingia kwenye UKAWA ulisukwa maalum kusambaratisha upinzani ambao kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania wapinzani wameubaliana kuwa kitu kimoja kukiondoa chama tawala. Hii ilikuwa ni hatari kwa watawala wakaamua kumtumia kada wao maarufu kusambaratisha upinzani. UKAWA kama mazuzu wameingia kwenye mtego kichwa kichwa na sasa wanaandaliwa kuchinjiwa baharini.

hoja yako haina mashiko unafikiri wasomi wote wa UKAWA wanaakili kama zakwako? Ukiandika uwe unatumia akili usitumie maharage uliyokula jana
 
Kwanini havai gwanda lakini!

Kwenye kundi la ndege weupe, akiwepo mmoja ambaye ni mweusi basi huyo mweusi ataonekana kwa urahisi kuliko mmoja kati ya wale weupe ambaye ni mweupe. Maana ni kwamba hasipo vaa kichadema basi anaonekana kwa urahisi na kuashiria bado ni mgeni ndani ya chama na kuonyesha ametokea CCM.
 
Back
Top Bottom